Bodhichitta
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 315
- 762
Aslaam,
Hakika huu msemo wa ndugu lawama una maana kwelikweli,
Niliamua kumshirikisha ndugu yangu kwenye kupambana na maisha.
Nikampa wazo lakufanyia biashara ya mazao, akakubali nikampa mtaji tukaanza kununua na baadae kuuza.
Baada ya mauzo mi nikatoa mtaji faida iliyopatikana ilikuwa ndogo saana ikanibidi niigawe kati, nusu nikampa yeye nusu nyingine nikabaki nayo.
Baadae msimu wazao lingine ulipofika, nikampa mtaji mwingine akanunua baadae tukauza.
Baada ya mauzo faida ikaja kama 3M, nikachukue 1.3M nikampa.
Aaaah dogo hakuridhika akaenda kunisemea kwa wazazi kuwa tulikubaliana faida ikipatikana tugawane nusu Kwa nusu imekuwaje nimempa kidogo?
Wakati huo kuna sehemu nimenunua mzigo zaida ya wakwake na nimempa laki 5 tumemalizana.
Nimeamua kumtua dogo nipambane na wabaki tu.