ThuraiyyaBarrons
New Member
- Apr 14, 2025
- 1
- 0
Ndugu wana wa Tanzania.
Usije ukakimbilia Ubunge ukasahau udiwani wa Katika Halmashauri yako. Nafasi za Udiwani ni nafasi muhimu sana katika Maendeleo ya Halmashauri yako.
Katika Uanzishaji na Uibuaji Miradi na Uibuaji vyanzo Vya Mapato, Katika Usimamizi wa rasilimali fedha na rasilimimali nyingine za Hamashauri yako. Ni nafasi muhimu na kubwa sana ambayo itaifanya Halmashauri yako iendelee au idumae.
Kama Mwakilishi na Kama Mjumbe Kwenye vikao vya maamuzi analazimika kuelewa na kufahamu ni kwa wakati gani yeye ni Mwakilishi na Wakati gani yeye ni mjumbe katika Vikao kwa Maisha bora ya Halmaehauri yako na Watu wake.
Kila la Heri wapambanaji.