Ndugu wanachama wa CDM msije kabisa kujaribu kuingia kwenye huu mtego

MSUKUMA02

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
1,454
Reaction score
3,978
Twende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi maana muda mchache mambo ni mengi

Ndugu wanachama wa CDM msije kabisa kujaribu kuingia kwenye huu mtego ambao mmewekea siku ya uzinduzi wa bwawa la Umeme kwa camera zote kummulika aliyekuwa mwenyekiti wenu MBOWE

Hili jambo halijatokea kwa bahati mbaya bali ni kwa maksudi ya baadhi ya viongozi wa juu kabisa ndani ya serikali kumtaka MBOWE aonekane katika tukio lile na kweli Mzee kajipatia fungu kubwa sana la pesa sitolitaja na tayari wameshamuweka katika mfumo wa kutafuna Kodi za wananchi ntakuja kuwaambia yupo kitengo kipi

Twendeni sasa kwenye huo mtego mliowekewa katika Hilo tukio ni kujaribu kulizima sakata lote la kesi ya TAL ili mhamishe mijadala yote muipeleke kwenye tukio la DJ kuonekana bwawani

My take msije kujaribu kumpa airtime MBOWE katika media yoyote Wala kujaribu kumtoa katika kamati zenu maana Kuna bomu mmeandaliwa na mlipuaji atakuwa ni huyo huyo MBOWE tena ni ndani ya kipindi hiki hiki ambacho mnampigania mwenyekiti wenu TAL ili mgawanyike na mvurugane
 
Attachments

  • IMG_20260821_170521~2.jpg
    IMG_20260821_170521~2.jpg
    627 KB · Views: 15
Sasa Mbowe akiaondoka kwenye kamati afaondoka na nani wakati watu wake fayari wapo Chauma,hakuna atakaegawanyika kwenda upande wa loser
 
Mbowe ana Busara sana kuna mbwa wangu mmoja nataka nimpe jina lake
 
Twende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi maana muda mchache mambo ni mengi

Ndugu wanachama wa CDM msije kabisa kujaribu kuingia kwenye huu mtego ambao mmewekea siku ya uzinduzi wa bwawa la Umeme kwa camera zote kummulika aliyekuwa mwenyekiti wenu MBOWE

Hili jambo halijatokea kwa bahati mbaya bali ni kwa maksudi ya baadhi ya viongozi wa juu kabisa ndani ya serikali kumtaka MBOWE aonekane katika tukio lile na kweli Mzee kajipatia fungu kubwa sana la pesa sitolitaja na tayari wameshamuweka katika mfumo wa kutafuna Kodi za wananchi ntakuja kuwaambia yupo kitengo kipi

Twendeni sasa kwenye huo mtego mliowekewa katika Hilo tukio ni kujaribu kulizima sakata lote la kesi ya TAL ili mhamishe mijadala yote muipeleke kwenye tukio la DJ kuonekana bwawani

My take msije kujaribu kumpa airtime MBOWE katika media yoyote Wala kujaribu kumtoa katika kamati zenu maana Kuna bomu mmeandaliwa na mlipuaji atakuwa ni huyo huyo MBOWE tena ni ndani ya kipindi hiki hiki ambacho mnampigania mwenyekiti wenu TAL ili mgawanyike na mvurugane
Naaamini Chadema ni kubwa kuliko Mbowe. Yeye apambanie tumbo lake, hakuna shida kupata deal !
 
Chai.

Mbongo mpe picha tu stori nzima atakupatia .
 
MAWAZO YA UWANDISHI WAKO BADO NI MGANDO - Huwezi kuandika hoja nzito kama hii bila kupangilia hoja zako kwa mantiki ya msingi kama msomi mzuri - Unakuwa kama hujataka kuandika andiko kama msomi huru nadhani ujitafakari mwandishi kwa hilo maana upo very poor kabisa katika andiko lako unakuwa kama sio msomi au mtu umeenda shule kabisa .....
 
Hana ushawishi huo ndani ya cdm kwa sasa yeye ale kodi zetu ila ipo siku watatujibu nan aliwapa idhini ya kutafuna kodi zetu kwa manufaa yao
Hivi kwa akili yako,unafikiri kuna siku moja upinzani utashika dola?
Kwa workforce hii ya KIHARAKATI?,
#Akina maalim seif ndiyo wangeweza kutwaa dola hii na hawa wapumbavu!?...., ambao familia zao zipo nje!....
 
Twende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi maana muda mchache mambo ni mengi

Ndugu wanachama wa CDM msije kabisa kujaribu kuingia kwenye huu mtego ambao mmewekea siku ya uzinduzi wa bwawa la Umeme kwa camera zote kummulika aliyekuwa mwenyekiti wenu MBOWE

Hili jambo halijatokea kwa bahati mbaya bali ni kwa maksudi ya baadhi ya viongozi wa juu kabisa ndani ya serikali kumtaka MBOWE aonekane katika tukio lile na kweli Mzee kajipatia fungu kubwa sana la pesa sitolitaja na tayari wameshamuweka katika mfumo wa kutafuna Kodi za wananchi ntakuja kuwaambia yupo kitengo kipi

Twendeni sasa kwenye huo mtego mliowekewa katika Hilo tukio ni kujaribu kulizima sakata lote la kesi ya TAL ili mhamishe mijadala yote muipeleke kwenye tukio la DJ kuonekana bwawani

My take msije kujaribu kumpa airtime MBOWE katika media yoyote Wala kujaribu kumtoa katika kamati zenu maana Kuna bomu mmeandaliwa na mlipuaji atakuwa ni huyo huyo MBOWE tena ni ndani ya kipindi hiki hiki ambacho mnampigania mwenyekiti wenu TAL ili mgawanyike na mvurugane
Umeandika uchafu unaonuka, we ni zero brain ht kuandika huwezi, ni mshamba km lilivyo kabila lako
 
Kwahiyo ulikuwepo wakati anatengewa hilo Fungu!
Kwa maana hiyo na wewe umepewa fungu!
Kwahiyo wewe na mbowe mnafungu lenu ila umekuja kutufunga macho?
 
MAWAZO YA UWANDISHI WAKO BADO NI MGANDO - Huwezi kuandika hoja nzito kama hii bila kupangilia hoja zako kwa mantiki ya msingi kama msomi mzuri - Unakuwa kama hujataka kuandika andiko kama msomi huru nadhani ujitafakari mwandishi kwa hilo maana upo very poor kabisa katika andiko lako unakuwa kama sio msomi au mtu umeenda shule kabisa .....
Taratibu mkuu, Natumaini utakuwa umeelewa lakini ndugu mchangia hoja si right?
 
Kwahiyo ulikuwepo wakati anatengewa hilo Fungu!
Kwa maana hiyo na wewe umepewa fungu!
Kwahiyo wewe na mbowe mnafungu lenu ila umekuja kutufunga macho?
Mimi ni mwanachama hai wa CHAMA CHA MAPINDUZI Natumaini tumeelewana ndugu mchangiaji right?
 
Kwahiyo ulikuwepo wakati anatengewa hilo Fungu!
Kwa maana hiyo na wewe umepewa fungu!
Kwahiyo wewe na mbowe mnafungu lenu ila umekuja kutufunga macho?
Mkuu hao nyumbu hawatumiagi akili, ni mapumbavu yasiyomithilika, angalia wenzake wanavyomwunga mkono! Ni jamii ya nazuzu, ni sawa na wafuasi wa Joseph Kibwetere wa Uganda
 
Pigwa miti na uzungushe kiuoni sawaswa wewe nguruwe uliyekosa mwangalizi. *****.
 
Back
Top Bottom