MSUKUMA02
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 1,454
- 3,978
Twende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi maana muda mchache mambo ni mengi
Ndugu wanachama wa CDM msije kabisa kujaribu kuingia kwenye huu mtego ambao mmewekea siku ya uzinduzi wa bwawa la Umeme kwa camera zote kummulika aliyekuwa mwenyekiti wenu MBOWE
Hili jambo halijatokea kwa bahati mbaya bali ni kwa maksudi ya baadhi ya viongozi wa juu kabisa ndani ya serikali kumtaka MBOWE aonekane katika tukio lile na kweli Mzee kajipatia fungu kubwa sana la pesa sitolitaja na tayari wameshamuweka katika mfumo wa kutafuna Kodi za wananchi ntakuja kuwaambia yupo kitengo kipi
Twendeni sasa kwenye huo mtego mliowekewa katika Hilo tukio ni kujaribu kulizima sakata lote la kesi ya TAL ili mhamishe mijadala yote muipeleke kwenye tukio la DJ kuonekana bwawani
My take msije kujaribu kumpa airtime MBOWE katika media yoyote Wala kujaribu kumtoa katika kamati zenu maana Kuna bomu mmeandaliwa na mlipuaji atakuwa ni huyo huyo MBOWE tena ni ndani ya kipindi hiki hiki ambacho mnampigania mwenyekiti wenu TAL ili mgawanyike na mvurugane