Ndugu wanachangia kukuporomosha kiuchumi

Nilipambana mkuu kufanya kazi nikampatia ndugu yangu pesa anihifadhie siku nakuja hitaji hakunipa hata mia mbovu pesa yote katatulia shida zake.
😜😜😜😜pole sana hao ndio ndugu kuipata kwake sasa iyo pesa unaanzaje anzaje kwamfano
 
Nilipambana mkuu kufanya kazi nikampatia ndugu yangu pesa anihifadhie siku nakuja hitaji hakunipa hata mia mbovu pesa yote katatulia shida zake.
Pole sana Mkuu...jifunze kutunza pesa mwenyewe...ugumu uko wapi?...kwa nini usiweke pesa bank!...au hata kwenye simy yako basi...hivi ikitokea bahati mbaya huyo Ndugu akafariki inakuaje?
 
wengine mioyo yetu milaini sana hatuwezi kunyima ndugu wanapohitaji msaada...yaani kama ndo una kaakiba chako hlf mtu anakulilia shida, unaona roho inakusuta usipompa huku ukijua kuwa akiba ipo kdg japo we mwenyewe haikutoshelezi

Na mbaya ni kwamba hata ndugu umsaidie kila atapohitaji msaada, siku ukimwambia sina basi utaonekana mbaya au umeanza roho mbaya, au utaonekana umewachoka..

Kweli ndugu lawama...na ukiwaendekeza kweli wanarudisha nyuma, sema kwa kuwa Mungu kakujaalia chochote kitu huna budi uwabariki watu wake pia...
 
Hapa ulikuwa unamuuliza kijanja kama akishindwa kulipa atatoa mzigo???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwazoeshe kuwapa kila wanapoitaji wakati usihofie wambie sina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…