Ndugu wanachangia kukuporomosha kiuchumi

Huyu ndugu yangu alikuwa muanifu nimewahi kuweka pesa kwake mara tatu ila safari hii kanifundisha
 
mkeo bado upo nae?
 
Huyu ndugu yangu alikuwa muanifu nimewahi kuweka pesa kwake mara tatu ila safari hii kanifundisha

Ila kama umeolewa si bora ushirikiane na mumeo kuweka..
Kama mume nae kivuruge basi tafuta akaunti uweke utulie zako tu mkuu.

Haina ulazima kuweka pesa kwa ndugu.

Mimi mwenyewe siweki tena pesa kwa Ndugu kwa sababu nina maamuzi yangu mwenyewe sihofii labda matumizi makubwa.
 
Kwa nini watu mnaigopa pesa kiasi hiki? Au ndio yale maonyo ya wazazi kuwa pesa ni mbaya?.Yaan mtu mzima unashindwa kutafuta namna bora ya kuhifadhi pesa zako hadi una mkabidhi ndugu yako akutunzie?.

Kweli kuna haja ya mitaala kuongezewa mambo ya fedha.
Trust no one and suspect every one with your hard earned money.

Hakikisha wewe ndio unakuwa mtu wa kwanza kuwa na mamlaka na pesa yako.
Hakikisha kinachoingia kisiwe=na kinachotoka .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwasomo
 
Wanao saidia kukupandisha ni akina nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…