Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Huyu kijana yupo kwenye ile video ya Mwananyamala ambayo wanasema sio video ya hapa Tanzania. Mwanamitandao Muna Love aliwahi kumpost kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa kijana huyo anatafutwa na alipigwa risasi Mabatini akidai hata ndugu yake amenuona, daaah.
Tunachouliza miili ya hawa watanzania imewekwa wapi. ?Wapeni familia zao wazike , kama hamna mtupeleke ilipo.