PostGE2025 Ndugu wathibitisha kuona mwili ya ndugu yao kwenye video ya Mwananyamala Hospitali

PostGE2025 Ndugu wathibitisha kuona mwili ya ndugu yao kwenye video ya Mwananyamala Hospitali

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Na kuna yule mwenye t-shirt ya man u alitafutwa Sana nayeye kaonekana pale
FB_IMG_1763291767313.jpg

FB_IMG_1763291762627.jpg

Wapo wengi tu
 

Attachments

  • FB_IMG_1763291762627.jpg
    FB_IMG_1763291762627.jpg
    24.3 KB · Views: 19
Hao ndugu wameonaje ndugu zao kwenye video za AI? Wahaini hao.​
 
Nahuzunika kusema kuwa wataonana paradiso
Ccm haifai
 
Afu kuna yule bonge, ilavaa vest za basketball, alikua anatafutwa sana kuwa alipotea maeneo ya Sala sala, kaonelana pale mochwari, tena yuko kitovu wazii.
Jamaniiii!! 😢😢😭😭😭
 
Back
Top Bottom