Ndugu yako akifanya kazi hii "Mmempoteza"

Ndugu yako akifanya kazi hii "Mmempoteza"

Yaani hili ndo nashangaa..
Hata mtu akimpa hela ampe namba ya dadake anatoa..
Wao kila kitu kinauzwa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbosose kweli wewe


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Madalali wote mjini ni ngumu sana kufahamu nyumba anayoishi..
Hata nyie ndugu zake au awe rafiki yako hutajua magetoni kwake ni wapi.

Wanaishi km digidigi
Kwa maelezo ya watu wengi hapo juu maaana yake wameuza hata vyumba vyao vya kulala
 
Sielewi shughuli zingine zina nini ..lakini
Mtu akijiingiza Tu huko na tabia inabadilika moja kwa moja ...harusi tena kuwa Yule wa zamani...

Hii kazi ya udalali hapa Dar ..mtu akishajiingiza Tu ..basi very soon anakuwa
Anawatapeli malofa, una akili yako na anajua akikinukisha ataomba poo atakugusia wapi?
 
Sielewi shughuli zingine zina nini ..lakini
Mtu akijiingiza Tu huko na tabia inabadilika moja kwa moja ...harusi tena kuwa Yule wa zamani...

Hii kazi ya udalali hapa Dar ..mtu akishajiingiza Tu ..basi very soon anakuwa
'haaminiki'
'mpigaji'
"Utapeli"
"Usanii"..

Yaani hata Ndugu zake anawaingiza mjini..
Nyumba za familia inabidi muwe macho ..mkimpa hati eti aende kulipa kodi manispaa ..usishangae akiuza..
Kibaya zaidi hii kazi ya udalali mtu anaweza kuwafanyia udalali hata mashemeji zake au dada zake...

Kama dalali mwanamke ndo kabisa..
Anaweza kuuza hata mabinti zake....

Hizi kazi zingine sijui zina nini..
Ngumu Sana kukutana na dalali sio
Muongo.
Muaminifu
Ana maadili..

Wengi pesa mbele ..full usanii..
Umeishapigwa. jiwe Likitupwa gizani Ukasikia mtu Analia, Ujue limepata
 
Tatizo lao tamaa..wanataka wapate cha juu kikubwa na hata wakipata inaishia kutanua na kwenda kwa waganga..
Na sasa hv wamegundua wananunua kigari
 
Kazi nyingine ambayo vinasaba vya watendaji wake zinafanana na madalali ni mafundi (nguo, carpenter, waashi n.k)...

Wale wa njoo uchukue nguo yako kesho, au kabati lako kesho ni waongo waongo sana
Kuna fundi nilimpa pesa nusu km laki mbili ya ujitaji wangu, kila siku mizinguo..alishangaa siku nimefika na askari anapiga pingu,alikua carpenter.
 
Kuna fundi nilimpa pesa nusu km laki mbili ya ujitaji wangu, kila siku mizinguo..alishangaa siku nimefika na askari anapiga pingu,alikua carpenter.
Mimi huwa nawapiga 'zongo' la maneno biashara zao ziyumbe na zinadorora kweli...

Huwezi chukua tu kirahisi pesa ya mtu kaihangaikia kwa jasho...
 
Mi sio dalali, ila tabia ya kuuza uza VYANGU ninayo Sana.
TV ya kwangu nimenunua mil 2.5 nna shida ya Kama mil 2 fastaa na najua hiyo ishu itaniingizia hela zaidi ya hiyo why nisiuze hiyo TV mchakato ukikamilika nanunua nyingine kubwa zaidi take. Bora niuze vyangu kuliko kukopa.
 
Kuna mwamba tulfikiaga getho kwake anamishe hizo za udalal dalal sku karud saa saba usku anasema kapata mteja wa godoro na yuko nje na bajaj dah ilbid tuamke tu afanye mambo yake
Hhahahhaa
Kwahiyo mkuu mlilala chini
 
Back
Top Bottom