Ndugu yako akifanya kazi hii "Mmempoteza"

Ndugu yako akifanya kazi hii "Mmempoteza"

Pia Madalali wengi wana network na Watu Wa madili ya hatari na Haramu, i.e majambazi, wauza madawa ya kulevya, Machangudoa n.k..

Hio ni kweli kuna mdada hapa jirani yangu ni dalali.Naskia juzi kati alifuatwa na defenda kwa kosa la ujambazi.
 
Mstari unaotenganisha udalali na utapeli ni mwembamba sana.
 
Back
Top Bottom