Mku siyo tu ngumu ni hakuna kabs kiumbe dalali asiye na sifa ulizotaja hapo.................Ngumu Sana kukutana na dalali sio
Muongo.
Muaminifu
Ana maadili..
Wengi pesa mbele ..full usanii..
Yaani hili ndo nashangaa..
Hata mtu akimpa hela ampe namba ya dadake anatoa..
Wao kila kitu kinauzwa
Kwa maelezo ya watu wengi hapo juu maaana yake wameuza hata vyumba vyao vya kulalaMadalali wote mjini ni ngumu sana kufahamu nyumba anayoishi..
Hata nyie ndugu zake au awe rafiki yako hutajua magetoni kwake ni wapi.
Wanaishi km digidigi
Anawatapeli malofa, una akili yako na anajua akikinukisha ataomba poo atakugusia wapi?Sielewi shughuli zingine zina nini ..lakini
Mtu akijiingiza Tu huko na tabia inabadilika moja kwa moja ...harusi tena kuwa Yule wa zamani...
Hii kazi ya udalali hapa Dar ..mtu akishajiingiza Tu ..basi very soon anakuwa
Umeishapigwa. jiwe Likitupwa gizani Ukasikia mtu Analia, Ujue limepataSielewi shughuli zingine zina nini ..lakini
Mtu akijiingiza Tu huko na tabia inabadilika moja kwa moja ...harusi tena kuwa Yule wa zamani...
Hii kazi ya udalali hapa Dar ..mtu akishajiingiza Tu ..basi very soon anakuwa
'haaminiki'
'mpigaji'
"Utapeli"
"Usanii"..
Yaani hata Ndugu zake anawaingiza mjini..
Nyumba za familia inabidi muwe macho ..mkimpa hati eti aende kulipa kodi manispaa ..usishangae akiuza..
Kibaya zaidi hii kazi ya udalali mtu anaweza kuwafanyia udalali hata mashemeji zake au dada zake...
Kama dalali mwanamke ndo kabisa..
Anaweza kuuza hata mabinti zake....
Hizi kazi zingine sijui zina nini..
Ngumu Sana kukutana na dalali sio
Muongo.
Muaminifu
Ana maadili..
Wengi pesa mbele ..full usanii..
Kuna fundi nilimpa pesa nusu km laki mbili ya ujitaji wangu, kila siku mizinguo..alishangaa siku nimefika na askari anapiga pingu,alikua carpenter.Kazi nyingine ambayo vinasaba vya watendaji wake zinafanana na madalali ni mafundi (nguo, carpenter, waashi n.k)...
Wale wa njoo uchukue nguo yako kesho, au kabati lako kesho ni waongo waongo sana
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Madalali pia hawakai na vitu
Mtu akitaka nyumba
Akikosa ya kumuuzia anauza yake
Akiishiwa hata tv yake anauza
tapeliMi sio dalali, ila tabia ya kuuza uza VYANGU ninayo Sana.
Mimi huwa nawapiga 'zongo' la maneno biashara zao ziyumbe na zinadorora kweli...Kuna fundi nilimpa pesa nusu km laki mbili ya ujitaji wangu, kila siku mizinguo..alishangaa siku nimefika na askari anapiga pingu,alikua carpenter.
TV ya kwangu nimenunua mil 2.5 nna shida ya Kama mil 2 fastaa na najua hiyo ishu itaniingizia hela zaidi ya hiyo why nisiuze hiyo TV mchakato ukikamilika nanunua nyingine kubwa zaidi take. Bora niuze vyangu kuliko kukopa.Mi sio dalali, ila tabia ya kuuza uza VYANGU ninayo Sana.
Ttzo pekee madalali wa hizo pxssssy ni vizinga visivyoisha.....yaani hawaishiwi shidaKusema kweli dalali wangu wa Pxssyy za kisomali hajawahi kuniangusha.
HahahahaMimi huwa nawapiga 'zongo' la maneno biashara zao ziyumbe na zinadorora kweli...
Huwezi chukua tu kirahisi pesa ya mtu kaihangaikia kwa jasho...
HhahahhaaKuna mwamba tulfikiaga getho kwake anamishe hizo za udalal dalal sku karud saa saba usku anasema kapata mteja wa godoro na yuko nje na bajaj dah ilbid tuamke tu afanye mambo yake