Mbeba Lawama JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 1,059 Reaction score 3,504 Jul 29, 2021 #41 Shunie said: Hhahahhaa Kwahiyo mkuu mlilala chini Click to expand... Tuliamia seblen na koch zenyew n zle za watu wawil yan unajkunja kama dawa ya mbu kikubwa pakuche na ujalala nje
Shunie said: Hhahahhaa Kwahiyo mkuu mlilala chini Click to expand... Tuliamia seblen na koch zenyew n zle za watu wawil yan unajkunja kama dawa ya mbu kikubwa pakuche na ujalala nje
Zeemadeit JF-Expert Member Joined Oct 16, 2020 Posts 830 Reaction score 1,673 Jul 29, 2021 #42 TANMO said: Pia Madalali wengi wana network na Watu Wa madili ya hatari na Haramu, i.e majambazi, wauza madawa ya kulevya, Machangudoa n.k.. Click to expand... Hio ni kweli kuna mdada hapa jirani yangu ni dalali.Naskia juzi kati alifuatwa na defenda kwa kosa la ujambazi.
TANMO said: Pia Madalali wengi wana network na Watu Wa madili ya hatari na Haramu, i.e majambazi, wauza madawa ya kulevya, Machangudoa n.k.. Click to expand... Hio ni kweli kuna mdada hapa jirani yangu ni dalali.Naskia juzi kati alifuatwa na defenda kwa kosa la ujambazi.
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Jul 29, 2021 #43 Hivi kati ya dalali na polisi ni nani analaaniwa sana na watu?
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 14,834 Reaction score 32,522 Jul 29, 2021 #44 Mstari unaotenganisha udalali na utapeli ni mwembamba sana.