Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Wadau Repeat again sio sawa kabisa jihadhari na lugha za wakubwa duniani jifunze taratibu na usijaribu kutafsiri native language yako kwenda kimombo sio sawa kabisa
Repeat ni sawa na again hivyo huwezi weka maneno hayo sehemu mojaInategemea na muktadha pia acha kukariri lugha
Bado haujaelewekaInategemea na muktadha acha kukarir najua kama hyo ni redundant lakn inategemea na muktadha ndo hoja yangu
Mama Rudia ana watoto wawili, wa pili anaitwa Tena ,Wadau Repeat again sio sawa kabisa jihadhari na lugha za wakubwa duniani jifunze taratibu na usijaribu kutafsiri native language yako kwenda kimombo sio sawa kabisa

Songi langu hili mkuu 😀Mama Rudia ana watoto wawili, wa pili anaitwa Tena ,
Wa kwanza ataitwaa naniiii aaaah Rudia....
Saigon - Rudia.
Repeat what you said - Rudia ulichokisemaWadau Repeat again sio sawa kabisa jihadhari na lugha za wakubwa duniani jifunze taratibu na usijaribu kutafsiri native language yako kwenda kimombo sio sawa kabisa
Wacha kupotosha watu, repeat inamaanisha rudia na again inamaanisha tenaRepeat ni sawa na again hivyo huwezi weka maneno hayo sehemu moja