Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kama maisha yamemshinda nyumbani ughaibuni atayaweza? Wapo wengi waliokwenda wakaharibikiwa kiasi cha kushindwa kurejea nyumbaniHabari zenu ndugu, Nina ndugu Yangu anafikiria kwenda kutafta maisha Uingereza kwa kufata taratbu zote yan kwa passport, visa na kila kitu, ila njia anayotaka kuitumia ni kwanza kuhakikisha anafika katika kambi ya wakimbizi huko uingereza.
Chengine ni kuwa amesoma na ana degree yake ya uhasibu aliyoipata mzumbe, anaamin hiyo inaweza ikawa gia nzuri ya yeye kutoboa but hana plan nyingne yoyote ile nyingne zaid ya hyo, hvyo tukashauriana kwa pamoja tuanzishe huu mjadala humu JF, kwa yeyote yule aliye na uzoefu ama ana ndugu alishwahi fika huko aweze tupa mawazo zaidi nini cha kufanya.
Asanteni, nakaribisha hoja.
Ajaribu pia kucheza green card lottery this month October 2023.Habari zenu ndugu, Nina ndugu Yangu anafikiria kwenda kutafta maisha Uingereza kwa kufata taratbu zote yan kwa passport, visa na kila kitu, ila njia anayotaka kuitumia ni kwanza kuhakikisha anafika katika kambi ya wakimbizi huko uingereza.