Ndugu yangu anataka kwenda kutafuta maisha Uingereza kwa gia ya kuingia kama mkimbizi. Je, atafanikiwa?

Ndugu yangu anataka kwenda kutafuta maisha Uingereza kwa gia ya kuingia kama mkimbizi. Je, atafanikiwa?

wingereza ni kugumu bora kwenda canada na nchi za scanavia ambazo population imepungua kuna uitaji wa watu.

Akitaka kwenda ujerumani ni simple hakasome kijerumani wanatoa viza kirahisi ana na elimu yake anataboa
 
Video na stories za mitaan zinawaharibu vijana wapumbavu na wavivu wa kufikiri na kifanya kazi pia,

ni kweli nchi yetu ni hovyo lkn inabidi kuna muda mpaka unafikia hatua hiyo hakikisha basi umejaribu njia zote za kimaisha zimeshindikana hapa bongo ndipo ukimbilie huko kwa watesi wenu.

Mtu anataman kwenda nchi za mbali huko ambako hana back up yoyote ya michongo wala hata pesa ya kuanzia si ajabu hana, anataka kwenda kuwa homeless ama mkimbizi ama akadakwe huko.

Mshauri aachane na mawazo ya kipumbavu, angekuwa karibu yangu ningemnasa makofi, mwambie ajipange kisaikolojia, kipesa hata kianzio ndipo aende huko kihalali na sio kwenda kihuni mwishoe akose madili halali sababu ya uhuni wa kipumbavu.

Akifanyia kazi ushauri wangu lazma atoboe tu, kuna msemo unasema ukizaliwa mbwa hata uhame nchi utabaki kubweka tu yaan kama unanyota ya punda hata uende ulaya utaishia kuwa mbeba mizigo[emoji23].

Afanye kazi kwa bidii hapa bongo, kama bongo kumemshinda mahala penye urahisi hivi je huko kwa wabaguzi na ugumu wa maisha atapaweza?

Pesa sio rahisi kama mnavyoaminishana, huko majuu kunasemekana kazi nyingi sana lkn masikin hawaishi.

Apige kazi yoyote hapa bongo hata kuzibua mitaro ama apate ozoefu wa kufanya kazi na wahindi ama watu wa jamii tofaut ajenge uwezo kwanza wa kuwasiliana na kujihusisha na race tofaut.

Nachukia sana kuona majitu yanayokimbia nchi as if kuna vita

Nachukia kuona mtu anahangaika kuhama nchi wakati kuna taratibu za kusafiri bila bugdha.

Always mtu anaefuata utaratibu hata kutoboa ni rahisi maana anajenga imani sehem nyingi.

Mshaur ndugu yako aache upumbavu la sivyo tutamkosa huyo,

Ukweli mchungu
 
Habari zenu ndugu, Nina ndugu Yangu anafikiria kwenda kutafta maisha Uingereza kwa kufata taratbu zote yan kwa passport, visa na kila kitu, ila njia anayotaka kuitumia ni kwanza kuhakikisha anafika katika kambi ya wakimbizi huko uingereza.

Chengine ni kuwa amesoma na ana degree yake ya uhasibu aliyoipata mzumbe, anaamin hiyo inaweza ikawa gia nzuri ya yeye kutoboa but hana plan nyingne yoyote ile nyingne zaid ya hyo, hvyo tukashauriana kwa pamoja tuanzishe huu mjadala humu JF, kwa yeyote yule aliye na uzoefu ama ana ndugu alishwahi fika huko aweze tupa mawazo zaidi nini cha kufanya.

Asanteni, nakaribisha hoja.
Kama maisha yamemshinda nyumbani ughaibuni atayaweza? Wapo wengi waliokwenda wakaharibikiwa kiasi cha kushindwa kurejea nyumbani
 
Mwambie rafikia yako aombe Schengen visa halafu aende Belgium, akifika pale achukuwe train mpaka Holland. Pale holland atachukuwa usafiri tena mpaka Uk, akifika 🇬🇧 border ataomba asylum kwa afisa wa uhamiaji. Mwambie ajipange na vielelezo vizuri vya kuonesha kweli anahitaji kuwa mkimbizi.
 
Habari zenu ndugu, Nina ndugu Yangu anafikiria kwenda kutafta maisha Uingereza kwa kufata taratbu zote yan kwa passport, visa na kila kitu, ila njia anayotaka kuitumia ni kwanza kuhakikisha anafika katika kambi ya wakimbizi huko uingereza.

Chengine ni kuwa amesoma na ana degree yake ya uhasibu aliyoipata mzumbe, anaamin hiyo inaweza ikawa gia nzuri ya yeye kutoboa but hana plan nyingne yoyote ile nyingne zaid ya hyo, hvyo tukashauriana kwa pamoja tuanzishe huu mjadala humu JF, kwa yeyote yule aliye na uzoefu ama ana ndugu alishwahi fika huko aweze tupa mawazo zaidi nini cha kufanya.

Asanteni, nakaribisha hoja.
Ajaribu pia kucheza green card lottery this month October 2023.
 
Back
Top Bottom