Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,006
- 2,963
Habari wana Jamvi
Huyu ndugu yangu aliomba mafasi ya kazi WESTERN GOVERN UNIVERSITY
anasema nafasi zilikuwa Arusha .
Lkn cha kushangaza alitumiwa mail atume vyetu,kitambulisho
Na video short inayomtambulisha yeye ni nani
And baada ya hapo akambiwa amepta kazi na mkataba akatumiwa
Hoja ni kwamba wanataka American express bank account na wamemuelekeza namna ya kupata
Kwa dola 20
Je kuna mtu amewai kukutana na hii kituu and kazi ni remote