Ndugu yangu Diamond Platinumz wekeza haraka sana, maisha ya wanamuziki wa Tanzania hugeuka shubiri haraka

kila views 1000 wanalipwa usd 2...

akipata views milion 10 mfano ambayo ndio average kwa video za diamond anazopataga.. analipwa na youtube usd 20,000 ambayo inatosha kabisa kutengeneza video south africa na chenji inabaki
sio kweli acha uongo
 
Mbo
kila views 1000 wanalipwa usd 2...

akipata views milion 10 mfano ambayo ndio average kwa video za diamond anazopataga.. analipwa na youtube usd 20,000 ambayo inatosha kabisa kutengeneza video south africa na chenji inabaki
Mbona nimesikia kwa 1000 viewers wanalipwa half dollar
 
Diamond usiwasikilize hawa, ponda mali kufa kwaja maisha yenyewe mafupi. Ukiishiwa nyimbo uza nyumba kula bia lala nje.
 
Mleta mada anadhani kuwekeza ni kuchimba dhahabu labda,kwa kuongezea,Diamond ana nyumba sio chini ya 30 hapa Dar
 
Diamond
1. Nyumba Kama Kumi (Kwa Mujibu Wa Dalali Mwanamke)

2. Wasafi Label.

3. Wasafi Studio

4. Wasafi Records

5. WCB Cloth Brand

6. Diamond Katanga.

7. Youtube Channel

8. Dizzimonline

9. Wasafi.com

10.Kuzaa Na Bosslady

11. Mama Anauza Vitenge, Bro Dj, Dada Esma Anauza Nguo

Unataka Akalime Ili Uone Kawekeza???.????

TUPAMBANE NA HALI ZETU JAMANI DIAMOND SIO MWENZETU.
 
Nimekusikia mkuu, na ndio maana nimeanza na diamond karanga na chibu perfume. Uwekezaji mwingine utafuata. Pia angalia nyimbo ya shulala, harmonize ft. Korodebelo...link on my intagram bio
Diamond karanga sio zako ni za Smart na pia Perfume a.k.a utuli sio yako ni project ya Kusaga,japo imekufa kibudu
 
kila views 1000 wanalipwa usd 2...

akipata views milion 10 mfano ambayo ndio average kwa video za diamond anazopataga.. analipwa na youtube usd 20,000 ambayo inatosha kabisa kutengeneza video south africa na chenji inabaki
huyu jamaa si angekuwa billionea wa dunia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…