Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana ukifulia na huo mdomo sijui utaonekanaje huko Mbagala.
sio kweli acha uongokila views 1000 wanalipwa usd 2...
akipata views milion 10 mfano ambayo ndio average kwa video za diamond anazopataga.. analipwa na youtube usd 20,000 ambayo inatosha kabisa kutengeneza video south africa na chenji inabaki
diamond anapenda mambo makubwa zaidi ya kipato chake.
sio kweli acha uongo
Video gani ya diamond youtube ina view moja?view moja you tube analipwa sh ngapi?
Mbona nimesikia kwa 1000 viewers wanalipwa half dollarkila views 1000 wanalipwa usd 2...
akipata views milion 10 mfano ambayo ndio average kwa video za diamond anazopataga.. analipwa na youtube usd 20,000 ambayo inatosha kabisa kutengeneza video south africa na chenji inabaki
ohooooAnawekeza chini, mwacheni;
Mleta mada anadhani kuwekeza ni kuchimba dhahabu labda,kwa kuongezea,Diamond ana nyumba sio chini ya 30 hapa DarDiamond karanga , chibu perfume, wasafi.com kwa ajili ya kuuza nyimbo (uwekezaji mkubwa kama unajua maswala ya IT utaelewa) , wasafi label na studio, wasafi clothline , wasafi studio kwa ajili ya kupiga picha nk bado hapo yy mwenyewe balozi Coca, VODA, bellarie, GSM mall na partnership kati ya safaricom ya kenya na WCB nk, upande wa uwekezaji kafanikiwa sasa ww sijui unataka uwekezaji gani,. Huo ushauri wape wasanii wengine si diamond na mda si mrefu anaingiza bidhaa nyingine sokoni. Mimi ushauri wangu diamond platnumz ulikuwa ni kutoa album na naona mda si mrefu ataito album yake Boy from tandale.
Diamond karanga sio zako ni za Smart na pia Perfume a.k.a utuli sio yako ni project ya Kusaga,japo imekufa kibuduNimekusikia mkuu, na ndio maana nimeanza na diamond karanga na chibu perfume. Uwekezaji mwingine utafuata. Pia angalia nyimbo ya shulala, harmonize ft. Korodebelo...link on my intagram bio
huyu jamaa si angekuwa billionea wa dunia?kila views 1000 wanalipwa usd 2...
akipata views milion 10 mfano ambayo ndio average kwa video za diamond anazopataga.. analipwa na youtube usd 20,000 ambayo inatosha kabisa kutengeneza video south africa na chenji inabaki
AiseeeeDiamond karanga sio zako ni za Smart na pia Perfume a.k.a utuli sio yako ni project ya Kusaga,japo imekufa kibudu
Leo ndio nimepata picha kwanini jf kuna mende ila ni mende msafiNimekusikia mkuu, na ndio maana nimeanza na diamond karanga na chibu perfume. Uwekezaji mwingine utafuata. Pia angalia nyimbo ya shulala, harmonize ft. Korodebelo...link on my intagram bio
Hahahaha mkuu...hata wewe ulitakiwa use kichwa kisafiLeo ndio nimepata picha kwanini jf kuna mende ila ni mende msafi