Ndugu yangu epuka mambo haya (7) kiroho sio mazuri

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
2,858
Reaction score
5,123
NDUGU YANGU EPUKA MAMBO HAYA (7) KIROHO SIO MAZURI
1)USIPENDE KUFAGIA USIKU

🌘kufagia usiku kiroho nikutupa baraka za mafanikio gizani

2)KUSHIKWA KICHWA

💆ukiona nafasi yako ya mafanikio ipo sawa epuka kabisa mtu kushika kichwa chako mtu anaweza kukugeuzia mambo kupitia kichwa chako

3)SEHEMU NYENGINE

❌mtu asikushike sikio

❌Asikushike kitovu

❌Kwenye utosi

🤔Hizi sehemu ukinenewa mabaya boss kama upo mwepesi utapotea

4)NYUMBA YA KUPANGA

❌Kama umepanga nyumba usikubali mwenye nyumba azunguke nyumba ukiwa ndani, utalipa sana kodi utasahau kujenga utakaa hapo hapo maisha yote

5)UKIZAA WATOTO WAKO WANAKUFA

❌ukiona unazaa watoto wanakufa fahamu wewe unanguvu mbaya mwilini mwako inaathiri watoto akikisha

❌Akikisha mtoto wako ulali nae kitanda kimoja hilo tatizo kitakwsha

6)KUAZISHA MJI

❌usipende kuazisha mji umenunua kiwanja hakuna mtu alie jenga wewe ndio wajenga hiyo ni mbaya sana kwako kuna sehemu kuna maagano mabaya sana unaweza filisika kosa kununua hiyo sehemu au ukafa kabisa

✔️Ukiona mji upo tayari jenga na wewe

7)KULALA LODGE

❌ukiwa wafanyiwa tiba ikiwa tabibu wako hana sehemu ya kukulaza lala hata jikoni

❌Kulala lodge kutakufanya tiba yako isiwe nzuri

8)GODORO LILILO TUMIKA

❌ikiwa unaanza maisha unaweza kuanzia godoro lililo tumika ila isiwe desturi yako

❌Kununua gororo lililo tumika nisawa kuingiza kishindwa kwa mtu yani unanunua shida

9)MUESHIMU ANAEKUPIKIA CHAKULA

❌mueshimu anae kupikia chakula

❌Mueshimu anae kupikia chakula

Kama unataka ufafanuzi kiundan DM
IMG-20260730-WA0003.jpg
 
Kama unataka ufafanuzi kiundan DMView attachment 3639739
Safi sana hizi ndio mila na tamaduni zetu.
 
😄 jamaa unabumba kila kitu hakuna jipya wala jema chini ya jua
 
Back
Top Bottom