Ndugu yangu kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha hapa namanisha kiuchumi basi fanya hivi

Ndugu yangu kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha hapa namanisha kiuchumi basi fanya hivi

Kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha apa namanisha kiuchumi basi fanya hivi.

Acha Kuendekeza wanawake

Hapa kukwepa vizinga unashauriwa ufanye yafuatayo;

1. Kuwa na mwanamke mmoja usiwe na michepuko sabisa, pakuvuja pakiwa pengi itakuwa balaa.

2. Kuwa na mwanamke mpambanaji, usichukue beki tatu (beki tatu namanisha mwanamke golikipa kila kitu anakutegemea wewe). Usibebe mwanamke wa kumlipia kodi, mwanamke awe anajimudu, wewe uwe unaweka chachandu na mahitaji madogo madogo. Bora kuwa single ila sio na beki tatu (ukweli unauma najua).

3. Tenga bajeti ya mpenzi wako, mfano ukisema kwa mwezi umpe mpenzi wako Tsh. 50,000 ya mahitaji, ikizidi hapo tangaza huna hela hadi mwezi ujao, kama ni muelewa wewe mwambie mapema kabisa, mimi kwa mwezi nakupa Tsh. 20,000 ya kusuka, Tsh. 10,000 ya vocha na Tsh. 20,000 ya extra then kila mwezi wewe mpe hiyo pesa halafu usisumbuane nae.

Mwambie kwa level yangu mama mimi nakupa Tsh. 50,000 kila mwezi basi, ila kama uwezo wako wa Tsh. 10,000 mwambie kabisa (Hapa sheria ni isizidi 9.8% ya kipato chako, kama mnakumbuka Mungu tunampa 10% kwa hiyo hatuwezi mpa mwanamke kiwango kinachozidi hapo.

4. Usimpeleke mwanamke wako nyumba za kulala wageni (haitaki maelezo hii) mlete kwako ili kupunguza matumizi.

5. Akija kwako apike mwenyewe asinunue chakula, hataki afie mbele.

6. Usiwe na mwanamke wa mbali mfano mkoa mwingine, hata kama upo naye mji mmoja hakikisha nauli ya kumleta kwako haizidi Tsh. 2,000 kwa bodaboda na Tsh. 1,000 kwa daladala. Hili halina maelezo wote tunajua kauli ya sina nauli.

Nimemaliza

Kijana uliyehitimu kidato cha nne, kidato cha sita na chuo kikuu bado unajitafuta usisahau kufukua huu uzi wa ufadhili wa masomo nchi mbalimbali duniani: Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka

Fukua huo uzi kajitafute nje ya nchi.
Mkuu hii mada sio ya kiuchumi bali ni kimapenzi. Mods waihamishie kule MMU. Lakini una hoja nzito. Usikilizwe!
 
Kuna wengine hio 50k ni nyingi mno inategemea na upo na mtu wa wapi Ila kwa story yake amelenga watoto wa chuo sio makulumbembe ya mtaa makulumbembe hio 200k ni matumizi ya siku moja
mtoto wa chuo umpe 50k kwa mwezi, nakunya hapa
hao ndiyo wanafika mpaka 500k maana odometer yake bado iko ndogo
 
Back
Top Bottom