Ndugu yangu kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha hapa namanisha kiuchumi basi fanya hivi

Kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha apa namanisha kiuchumi basi fanya hivi.

Acha Kuendekeza wanawake

Hapa kukwepa vizinga unashauriwa ufanye yafuatayo;

1. Kuwa na mwanamke mmoja usiwe na michepuko sabisa, pakuvuja pakiwa pengi itakuwa balaa.

2. Kuwa na mwanamke mpambanaji, usichukue beki tatu (beki tatu namanisha mwanamke golikipa kila kitu anakutegemea wewe). Usibebe mwanamke wa kumlipia kodi, mwanamke awe anajimudu, wewe uwe unaweka chachandu na mahitaji madogo madogo. Bora kuwa single ila sio na beki tatu (ukweli unauma najua).

3. Tenga bajeti ya mpenzi wako, mfano ukisema kwa mwezi umpe mpenzi wako Tsh. 50,000 ya mahitaji, ikizidi hapo tangaza huna hela hadi mwezi ujao, kama ni muelewa wewe mwambie mapema kabisa, mimi kwa mwezi nakupa Tsh. 20,000 ya kusuka, Tsh. 10,000 ya vocha na Tsh. 20,000 ya extra then kila mwezi wewe mpe hiyo pesa halafu usisumbuane nae.

Mwambie kwa level yangu mama mimi nakupa Tsh. 50,000 kila mwezi basi, ila kama uwezo wako wa Tsh. 10,000 mwambie kabisa (Hapa sheria ni isizidi 9.8% ya kipato chako, kama mnakumbuka Mungu tunampa 10% kwa hiyo hatuwezi mpa mwanamke kiwango kinachozidi hapo.

4. Usimpeleke mwanamke wako nyumba za kulala wageni (haitaki maelezo hii) mlete kwako ili kupunguza matumizi.

5. Akija kwako apike mwenyewe asinunue chakula, hataki afie mbele.

6. Usiwe na mwanamke wa mbali mfano mkoa mwingine, hata kama upo naye mji mmoja hakikisha nauli ya kumleta kwako haizidi Tsh. 2,000 kwa bodaboda na Tsh. 1,000 kwa daladala. Hili halina maelezo wote tunajua kauli ya sina nauli.

Nimemaliza

Kijana uliyehitimu kidato cha nne, kidato cha sita na chuo kikuu bado unajitafuta usisahau kufukua huu uzi wa ufadhili wa masomo nchi mbalimbali duniani: Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka

Fukua huo uzi kajitafute nje ya nchi.
Hiyo no 1 ndi msingi wa kila kitu. Wanaume wengi wamedumnukia kwenye maskini na kufilsika sababu ya kuendekeza wanawake.

Aise wanawke ni chuma ulete mbaya sana.
Kunywa pombe lewa ila ulevi wa wanawake ni hatari sana.

unaweza kuta unahinga pesa ndogo let say 40,000 kwa kila mdada unaekutana nae. Sasa ukiwa unakutana na wadada 6 kwa mwezi utajikuta 240,000 mpaka 300000 umetumia bado pesa ulizo wanunulia vocha, nauli, bia, chakula etc.

Siku hzi kuna vitoto 18 mpaka 23 ukiomba binakupatia mzigo hata uwe na 50yrs
 
Kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha apa namanisha kiuchumi basi fanya hivi.

Acha Kuendekeza wanawake

Hapa kukwepa vizinga unashauriwa ufanye yafuatayo;

1. Kuwa na mwanamke mmoja usiwe na michepuko sabisa, pakuvuja pakiwa pengi itakuwa balaa.

2. Kuwa na mwanamke mpambanaji, usichukue beki tatu (beki tatu namanisha mwanamke golikipa kila kitu anakutegemea wewe). Usibebe mwanamke wa kumlipia kodi, mwanamke awe anajimudu, wewe uwe unaweka chachandu na mahitaji madogo madogo. Bora kuwa single ila sio na beki tatu (ukweli unauma najua).

3. Tenga bajeti ya mpenzi wako, mfano ukisema kwa mwezi umpe mpenzi wako Tsh. 50,000 ya mahitaji, ikizidi hapo tangaza huna hela hadi mwezi ujao, kama ni muelewa wewe mwambie mapema kabisa, mimi kwa mwezi nakupa Tsh. 20,000 ya kusuka, Tsh. 10,000 ya vocha na Tsh. 20,000 ya extra then kila mwezi wewe mpe hiyo pesa halafu usisumbuane nae.

Mwambie kwa level yangu mama mimi nakupa Tsh. 50,000 kila mwezi basi, ila kama uwezo wako wa Tsh. 10,000 mwambie kabisa (Hapa sheria ni isizidi 9.8% ya kipato chako, kama mnakumbuka Mungu tunampa 10% kwa hiyo hatuwezi mpa mwanamke kiwango kinachozidi hapo.

4. Usimpeleke mwanamke wako nyumba za kulala wageni (haitaki maelezo hii) mlete kwako ili kupunguza matumizi.

5. Akija kwako apike mwenyewe asinunue chakula, hataki afie mbele.

6. Usiwe na mwanamke wa mbali mfano mkoa mwingine, hata kama upo naye mji mmoja hakikisha nauli ya kumleta kwako haizidi Tsh. 2,000 kwa bodaboda na Tsh. 1,000 kwa daladala. Hili halina maelezo wote tunajua kauli ya sina nauli.

Nimemaliza

Kijana uliyehitimu kidato cha nne, kidato cha sita na chuo kikuu bado unajitafuta usisahau kufukua huu uzi wa ufadhili wa masomo nchi mbalimbali duniani: Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka

Fukua huo uzi kajitafute nje ya nchi.
Kama kuna wanawake wa hivi bado wabarikiwe
 
Hii ni kwa mtu yeyote. Sio tu anayejitafuta.
 
Mabandiko yamekuwa mengi mwanamke hivi, mwanamke vile..!!! Si mpige nyeto huku mnahifadhi pesa zenu, kwan mmelazimishwa kuwa na wanawake [emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha apa namanisha kiuchumi basi fanya hivi.

Acha Kuendekeza wanawake

Hapa kukwepa vizinga unashauriwa ufanye yafuatayo;

1. Kuwa na mwanamke mmoja usiwe na michepuko sabisa, pakuvuja pakiwa pengi itakuwa balaa.

2. Kuwa na mwanamke mpambanaji, usichukue beki tatu (beki tatu namanisha mwanamke golikipa kila kitu anakutegemea wewe). Usibebe mwanamke wa kumlipia kodi, mwanamke awe anajimudu, wewe uwe unaweka chachandu na mahitaji madogo madogo. Bora kuwa single ila sio na beki tatu (ukweli unauma najua).

3. Tenga bajeti ya mpenzi wako, mfano ukisema kwa mwezi umpe mpenzi wako Tsh. 50,000 ya mahitaji, ikizidi hapo tangaza huna hela hadi mwezi ujao, kama ni muelewa wewe mwambie mapema kabisa, mimi kwa mwezi nakupa Tsh. 20,000 ya kusuka, Tsh. 10,000 ya vocha na Tsh. 20,000 ya extra then kila mwezi wewe mpe hiyo pesa halafu usisumbuane nae.

Mwambie kwa level yangu mama mimi nakupa Tsh. 50,000 kila mwezi basi, ila kama uwezo wako wa Tsh. 10,000 mwambie kabisa (Hapa sheria ni isizidi 9.8% ya kipato chako, kama mnakumbuka Mungu tunampa 10% kwa hiyo hatuwezi mpa mwanamke kiwango kinachozidi hapo.

4. Usimpeleke mwanamke wako nyumba za kulala wageni (haitaki maelezo hii) mlete kwako ili kupunguza matumizi.

5. Akija kwako apike mwenyewe asinunue chakula, hataki afie mbele.

6. Usiwe na mwanamke wa mbali mfano mkoa mwingine, hata kama upo naye mji mmoja hakikisha nauli ya kumleta kwako haizidi Tsh. 2,000 kwa bodaboda na Tsh. 1,000 kwa daladala. Hili halina maelezo wote tunajua kauli ya sina nauli.

Nimemaliza

Kijana uliyehitimu kidato cha nne, kidato cha sita na chuo kikuu bado unajitafuta usisahau kufukua huu uzi wa ufadhili wa masomo nchi mbalimbali duniani: Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka

Fukua huo uzi kajitafute nje ya nchi.
Kama anajitafuta haswa yaan ni wa mishe za hapa na pale aingie no fap
 
Uzi unahusu waliolemewa na uzinzi
 
Back
Top Bottom