Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Wapi nimetetea majambazi?Hebu quote nione.Umefika mbali.Kuwa PUNGA?Yaani kuliwa kwa hiyari huku unatoa milio/mournings and poutings simultaneously!Kama wewe sio KE mbona unatetea mambo ya kike mkuu au wewe ni mwanaharakati wa masuala ya wanawake kuwafilisi wanaume?
Kama wewe ni ME basi lazima utakuwa PUNGA
Ninaposema mtoto unielewe sio kulumbembe la chuo maana chuo kuna watoto na makulumbembe pia sasa wewe ukipalangana na kulumbembe la chuo ndio hio unapigwa 500k per day piga per month inaleta Sifuri ngapi,mtoto wa chuo umpe 50k kwa mwezi, nakunya hapa
hao ndiyo wanafika mpaka 500k maana odometer yake bado iko ndogo
Usipotoshe vijana acha wahonge acha watapanye pesa umri bado wanao na fursa wanayo...... Kila mmoja wetu ananjianyake ukiwashauri ww wakati mtu ashajua njia yake inakua uongo mkuuKama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha apa namanisha kiuchumi basi fanya hivi.
Acha Kuendekeza wanawake
Hapa kukwepa vizinga unashauriwa ufanye yafuatayo;
1. Kuwa na mwanamke mmoja usiwe na michepuko sabisa, pakuvuja pakiwa pengi itakuwa balaa.
2. Kuwa na mwanamke mpambanaji, usichukue beki tatu (beki tatu namanisha mwanamke golikipa kila kitu anakutegemea wewe). Usibebe mwanamke wa kumlipia kodi, mwanamke awe anajimudu, wewe uwe unaweka chachandu na mahitaji madogo madogo. Bora kuwa single ila sio na beki tatu (ukweli unauma najua).
3. Tenga bajeti ya mpenzi wako, mfano ukisema kwa mwezi umpe mpenzi wako Tsh. 50,000 ya mahitaji, ikizidi hapo tangaza huna hela hadi mwezi ujao, kama ni muelewa wewe mwambie mapema kabisa, mimi kwa mwezi nakupa Tsh. 20,000 ya kusuka, Tsh. 10,000 ya vocha na Tsh. 20,000 ya extra then kila mwezi wewe mpe hiyo pesa halafu usisumbuane nae.
Mwambie kwa level yangu mama mimi nakupa Tsh. 50,000 kila mwezi basi, ila kama uwezo wako wa Tsh. 10,000 mwambie kabisa (Hapa sheria ni isizidi 9.8% ya kipato chako, kama mnakumbuka Mungu tunampa 10% kwa hiyo hatuwezi mpa mwanamke kiwango kinachozidi hapo.
4. Usimpeleke mwanamke wako nyumba za kulala wageni (haitaki maelezo hii) mlete kwako ili kupunguza matumizi.
5. Akija kwako apike mwenyewe asinunue chakula, hataki afie mbele.
6. Usiwe na mwanamke wa mbali mfano mkoa mwingine, hata kama upo naye mji mmoja hakikisha nauli ya kumleta kwako haizidi Tsh. 2,000 kwa bodaboda na Tsh. 1,000 kwa daladala. Hili halina maelezo wote tunajua kauli ya sina nauli.
Nimemaliza
Kijana uliyehitimu kidato cha nne, kidato cha sita na chuo kikuu bado unajitafuta usisahau kufukua huu uzi wa ufadhili wa masomo nchi mbalimbali duniani: Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka
Fukua huo uzi kajitafute nje ya nchi.
Kimsingi umelenga mambo ya...mpalange..kule madale kuna sehemu inaitwa "kisa uke."Kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha apa namanisha kiuchumi basi fanya hivi.

Sasa ndo umuoe, sio umchezee afu baadae ukaoe mwingne lol.Umeongea maisha yangu
1.Niko nae mmoja TU
2.mapenzi tunafanyia kwangu
3.hapo kwenye hela nadhani naishiaga 30000
4.hana kazi ila yuko kwao
5.ni muoga muoga
I wish niwe na hela nyingi hata gari nitamnunulia na nyumba kujenga
Yuko na Mimi in my very hard time she is 20yrs na Mimi ni mkubwa sana kwake but she love most
Mkuu umemaliza kila kitu. Wanawake wa sasa hivi ni zaidi ya kausha-damu. Mungu anawaona.Sehemu kubwa ya Wanawake kwa Sasa wamekua chanzo Cha kurudisha nyuma kiuchumi na maendeleo ya wanaume/vijana, uvunjifu wa familia n.k. Hivyo ushauri wa mwamba ni muhimu sana kwa Sasa ili kuwa makini na kufocus maisha.
Bajeti inahitaji donors kutoka nje sio 😄Bajeti finyu sana hiyo...
Kuwa na mwanamke mmoja kwa Sasa ni hatari na gharama sana kwa wanaume Bora utushauri tununue Malaya maana hata elfu unakojoa maana mademu wa Sasa ni manyonya damu zaidi ya freemasonKama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha apa namanisha kiuchumi basi fanya hivi.
Acha Kuendekeza wanawake
Hapa kukwepa vizinga unashauriwa ufanye yafuatayo;
1. Kuwa na mwanamke mmoja usiwe na michepuko sabisa, pakuvuja pakiwa pengi itakuwa balaa.
2. Kuwa na mwanamke mpambanaji, usichukue beki tatu (beki tatu namanisha mwanamke golikipa kila kitu anakutegemea wewe). Usibebe mwanamke wa kumlipia kodi, mwanamke awe anajimudu, wewe uwe unaweka chachandu na mahitaji madogo madogo. Bora kuwa single ila sio na beki tatu (ukweli unauma najua).
3. Tenga bajeti ya mpenzi wako, mfano ukisema kwa mwezi umpe mpenzi wako Tsh. 50,000 ya mahitaji, ikizidi hapo tangaza huna hela hadi mwezi ujao, kama ni muelewa wewe mwambie mapema kabisa, mimi kwa mwezi nakupa Tsh. 20,000 ya kusuka, Tsh. 10,000 ya vocha na Tsh. 20,000 ya extra then kila mwezi wewe mpe hiyo pesa halafu usisumbuane nae.
Mwambie kwa level yangu mama mimi nakupa Tsh. 50,000 kila mwezi basi, ila kama uwezo wako wa Tsh. 10,000 mwambie kabisa (Hapa sheria ni isizidi 9.8% ya kipato chako, kama mnakumbuka Mungu tunampa 10% kwa hiyo hatuwezi mpa mwanamke kiwango kinachozidi hapo.
4. Usimpeleke mwanamke wako nyumba za kulala wageni (haitaki maelezo hii) mlete kwako ili kupunguza matumizi.
5. Akija kwako apike mwenyewe asinunue chakula, hataki afie mbele.
6. Usiwe na mwanamke wa mbali mfano mkoa mwingine, hata kama upo naye mji mmoja hakikisha nauli ya kumleta kwako haizidi Tsh. 2,000 kwa bodaboda na Tsh. 1,000 kwa daladala. Hili halina maelezo wote tunajua kauli ya sina nauli.
Nimemaliza
Kijana uliyehitimu kidato cha nne, kidato cha sita na chuo kikuu bado unajitafuta usisahau kufukua huu uzi wa ufadhili wa masomo nchi mbalimbali duniani: Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka
Fukua huo uzi kajitafute nje ya nchi.
Ajitahidi kutafuta funds la sivyo project itakwama. 😆 😆 😆 nimewaza tuu kwa maisha ya sasa Afu amsini kweli?? Kwa mwezi kweli???Bajeti inahitaji donors kutoka nje sio 😄
HV ile Kaz ya commissioner wa nishati na gesi umeteuliwa KweliKama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha apa namanisha kiuchumi basi fanya hivi.
Acha Kuendekeza wanawake
Hapa kukwepa vizinga unashauriwa ufanye yafuatayo;
1. Kuwa na mwanamke mmoja usiwe na michepuko sabisa, pakuvuja pakiwa pengi itakuwa balaa.
2. Kuwa na mwanamke mpambanaji, usichukue beki tatu (beki tatu namanisha mwanamke golikipa kila kitu anakutegemea wewe). Usibebe mwanamke wa kumlipia kodi, mwanamke awe anajimudu, wewe uwe unaweka chachandu na mahitaji madogo madogo. Bora kuwa single ila sio na beki tatu (ukweli unauma najua).
3. Tenga bajeti ya mpenzi wako, mfano ukisema kwa mwezi umpe mpenzi wako Tsh. 50,000 ya mahitaji, ikizidi hapo tangaza huna hela hadi mwezi ujao, kama ni muelewa wewe mwambie mapema kabisa, mimi kwa mwezi nakupa Tsh. 20,000 ya kusuka, Tsh. 10,000 ya vocha na Tsh. 20,000 ya extra then kila mwezi wewe mpe hiyo pesa halafu usisumbuane nae.
Mwambie kwa level yangu mama mimi nakupa Tsh. 50,000 kila mwezi basi, ila kama uwezo wako wa Tsh. 10,000 mwambie kabisa (Hapa sheria ni isizidi 9.8% ya kipato chako, kama mnakumbuka Mungu tunampa 10% kwa hiyo hatuwezi mpa mwanamke kiwango kinachozidi hapo.
4. Usimpeleke mwanamke wako nyumba za kulala wageni (haitaki maelezo hii) mlete kwako ili kupunguza matumizi.
5. Akija kwako apike mwenyewe asinunue chakula, hataki afie mbele.
6. Usiwe na mwanamke wa mbali mfano mkoa mwingine, hata kama upo naye mji mmoja hakikisha nauli ya kumleta kwako haizidi Tsh. 2,000 kwa bodaboda na Tsh. 1,000 kwa daladala. Hili halina maelezo wote tunajua kauli ya sina nauli.
Nimemaliza
Kijana uliyehitimu kidato cha nne, kidato cha sita na chuo kikuu bado unajitafuta usisahau kufukua huu uzi wa ufadhili wa masomo nchi mbalimbali duniani: Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka
Fukua huo uzi kajitafute nje ya nchi.
Akiacha uoga utalia na kusaga Meno mtunze sana na dunia awe muoga hivo hivoUmeongea maisha yangu
1.Niko nae mmoja TU
2.mapenzi tunafanyia kwangu
3.hapo kwenye hela nadhani naishiaga 30000
4.hana kazi ila yuko kwao
5.ni muoga muoga
I wish niwe na hela nyingi hata gari nitamnunulia na nyumba kujenga
Yuko na Mimi in my very hard time she is 20yrs na Mimi ni mkubwa sana kwake but she love most
Unatetea mabeki tatu wenzakoMabandiko yamekuwa mengi mwanamke hivi, mwanamke vile..!!! Si mpige nyeto huku mnahifadhi pesa zenu, kwan mmelazimishwa kuwa na wanawake 😏