Ndugu yangu, mtoto wa mama mkubwa alichizi kisa mapenzi

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Kila nikimfikiriaa si mmalizi, huyu kaka, alikua na demu na wakazaa mtoto, baada ya demu kuondoka ghafla jamaa hakukubaliana na Hilo jambo akabaki kua mtu wa mawazo hali iliyo mpelekea kuchizi, AKITAKA mkewe arudi, yani Kuna muda anacheka Cheka, au anaweza kuongea mambo yasiyo eleeweka, akidai ana mpenda sana mpenzi wake , maisha haya.
 
Brother yako wa ajabu sana, kwani mwanamke ni mmoja tu
 
Kumbe ni mke, hilo lankawaida. Huwa ni mpito tu kaeni nae karibu atarudi sawa. then baadae aendelee na taribu zingine

Nafikiri kutokua mzoefu kwenye mapenzi ni changamoto piaa,
 
Namuunga mkono, haya mpenzi ni hatari sana!
Kila nikimtazama si mmalizi mi nilizani karogwa,
Brother yako wa ajabu sana, kwani mwanamke ni mmoja tu
NAMI nilishangaa Sanaa, ila NILIKUJA kugundua mtazamo wa jambo. Katika jambo hutofautiana, we unaweza ona simple tu lakini mwingine akalitazama tofauti, je na wale wanao geukia pombe, wanakua walevi taptap
 
Nafikiri kutokua mzoefu kwenye mapenzi ni changamoto piaa,

Sio suala la kutokuwa na uzoefu na mapenz. Mapenzi hayazoeleki, hayana formula ukishapenda. Kwa wale walii oa wanaelewa.
Angekuwa demu wa kawaida tu mbona fresh unavuta nyingine kesho yake, lakini huyu mke wa ndoa , mwana amesha invest vingi. Na ndio kinachomaliza wanaume

The best thing kaeni nae karibu, mtoeni out hata kaka hataki. Miezi mitatu na kuendelea mtaona mwanga. From there ataamua aendelee na hiyo ndoa au aanze process za talaka.
Huwa inachukua hata mwaka mwanaume kukaa sawa but ndio hivyo akubaliane na hali kwanza
 
Kaka juhudi ambazo zimesha fanywa ni kubwa sana mpaka wa ganga, nilijua ni jambo dogo, lakini limedumu sana, ndo nikashituka, ye anachotaka ni demu wake tu na si mambo ya kumtoa kumbadilishia mazingira hataki, anataka mpenzi wake, mapenzi msiyachukulie poa mkuu watu wamejiua, kuua nk
 
Yaan TANESCO na hiki kimvua cha rasharasha wanakata umeme kweli? Qmamkezao
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tufahamishe kama bado unakosa huduma ya umeme kwa msaada zaidi.^HN
 
Kigamboni hakuna umeme, tatizo nini
 
Back
Top Bottom