Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Hahahaaa mkuu bhana, eti ephen_ kwani ye Alisha toa tamko lolote kunihusu?Kama wewe ulivyochizika kwa ephen
Brother yako wa ajabu sana, kwani mwanamke ni mmoja tuKila nikimfikiriaa si mmalizi, huyu kaka, alikua na demu na wakazaa mtoto, baada ya demu kuondoka ghafla jamaa hakukubaliana na Hilo jambo akabaki kua mtu wa mawazo hali iliyo mpelekea kuchizi, AKITAKA mkewe arudi, yani Kuna muda anacheka Cheka, au anaweza kuongea mambo yasiyo eleeweka, akidai ana mpenda sana mpenzi wake , maisha haya.
Kumbe ni mke, hilo lankawaida. Huwa ni mpito tu kaeni nae karibu atarudi sawa. then baadae aendelee na taribu zingine
Nafikiri kutokua mzoefu kwenye mapenzi ni changamoto piaa,Kumbe ni mke, hilo lankawaida. Huwa ni mpito tu kaeni nae karibu atarudi sawa. then baadae aendelee na taribu zingine
Kila nikimtazama si mmalizi mi nilizani karogwa,Namuunga mkono, haya mpenzi ni hatari sana!
Kila nikimtazama si mmalizi mi nilizani karogwa,Namuunga mkono, haya mpenzi ni hatari sana!
NAMI nilishangaa Sanaa, ila NILIKUJA kugundua mtazamo wa jambo. Katika jambo hutofautiana, we unaweza ona simple tu lakini mwingine akalitazama tofauti, je na wale wanao geukia pombe, wanakua walevi taptapBrother yako wa ajabu sana, kwani mwanamke ni mmoja tu
Nafikiri kutokua mzoefu kwenye mapenzi ni changamoto piaa,
******* sana wamerudisha tayariMkoa gani huo mbona, huku umeme upo na mvua ina nyesha japo rashrash
Kaka juhudi ambazo zimesha fanywa ni kubwa sana mpaka wa ganga, nilijua ni jambo dogo, lakini limedumu sana, ndo nikashituka, ye anachotaka ni demu wake tu na si mambo ya kumtoa kumbadilishia mazingira hataki, anataka mpenzi wake, mapenzi msiyachukulie poa mkuu watu wamejiua, kuua nkSio suala la kutokuwa na uzoefu na mapenz. Mapenzi hayazoeleki, hayana formula ukishapenda. Kwa wale walii oa wanaelewa.
Angekuwa demu wa kawaida tu mbona fresh unavuta nyingine kesho yake, lakini huyu mke wa ndoa , mwana amesha invest vingi. Na ndio kinachomaliza wanaume
The best thing kaeni nae karibu, mtoeni out hata kaka hataki. Miezi mitatu na kuendelea mtaona mwanga. From there ataamua aendelee na hiyo ndoa au aanze process za talaka.
Huwa inachukua hata mwaka mwanaume kukaa sawa but ndio hivyo akubaliane na hali kwanza
Mwambie asogelee machimbo ya malaya yaliyopo karibu yake akiwala mwezi tu bila kupumzika atamsahau huyo kiumbeanataka mpenzi wake
Dah Sasa huko nikumpoteza sasaMwambie asogelee machimbo ya malaya yaliyopo karibu yake akiwala mwezi tu bila kupumzika atamsahau huyo kiumbe
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tufahamishe kama bado unakosa huduma ya umeme kwa msaada zaidi.^HNYaan TANESCO na hiki kimvua cha rasharasha wanakata umeme kweli? Qmamkezao
Dah sadaka tena, Yan mtu ana matatizo we bado UNATAKA umuongezee matatizo tenaAna muda gani?
Tuma majina yake na sadaka ya kujimaliza nimuombeee.
Hio kaamua mwenyewe kuchizika...Time will heal .
Kigamboni hakuna umeme, tatizo niniHabari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tufahamishe kama bado unakosa huduma ya umeme kwa msaada zaidi.^HN