Ndugu yangu, mtoto wa mama mkubwa alichizi kisa mapenzi

Duh! mwambie atafute kazi za kufanya....
 
Kumbe ni mke, hilo lankawaida. Huwa ni mpito tu kaeni nae karibu atarudi sawa. then baadae aendelee na taribu zingine
Hata kama ni mke wake ,ila huwezi kuwa chizi kisa mwanamke.. sometimes to let go is better than to hold on...

Maisha ya ndoa ni safari ya watu wawili kwa pamoja ,na kama mwenzio hataki utamlazimishaje?
Let her go...
 
Mambo kipindi yana Anza ilikua nikama masikhara, na tuliKua tunamcheka, kumbe duu!
 
Hana hela huyo na alikuwa kibamia
 
Kigamboni hakuna umeme, tatizo nini
Habari chakii asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto hiyo, tafafadhali tufahamishe kama bado unakosa huduma ya umeme kwa msaada zaidi.^HN
 
Usimcheke, muombee! Sio watu wote wanaoyachukulia mapenzi kiwepesi, wengine kwao ni until death do them apart. Watu kama hao wakisalitiwa kwao huwa ni jambo kubwa
 
Brother yako wa ajabu sana, kwani mwanamke ni mmoja tu
Hili swali unalouliza mara nyingi huulizwa na mtu asiyejali maumivu ya wengine ama kwa sababu tu jambo hilo halimhusu.

Hivi, ni mara ya kwanza kusikia visa vya watu kujidhuru ama kudhuru wengine kwa sababu ya mapenzi, je watu hao hawakuona wengine wa kuweza kuanzisha nao mahusiano?

Unaposikia kisa kama hiki hutakiwi kubeza na kujisifu ukamilifu.

Yatupasa tuwaombee wahanga ama tushauri njia iliyo bora namna ya kutibu athari zao za kisaikolojia.

Hakuna mkasa mdogo duniani na kila mtu ana namna yake ya kupokea mambo asiyoyatarajia.
 
Usimcheke, muombee! Sio watu wote wanaoyachukulia mapenzi kiwepesi, wengine kwao ni until death do them apart. Watu kama hao wakisalitiwa kwao huwa ni jambo kubwa
Kaka maisha ndo yalivo, Kuna muda tunaumia sana lakini inafika HATUa mnazoea, ni kweli kageuka comedian Kuna muda mnajikuta mna Cheka tu
 
Sijui kwanini siku hizi hatujaliani kabisa yani Kuna matatizo mtu akiyaona ye anahisi nimadogo kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…