Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

Ina maana hata vigorofa hakujenga..
mitaji vp hana!!?
 
Basi sawa amesanda amefulia

Mko happy sasa? Mana mmemchambua as if hio hela yake ni nyie mlikua mnampa

Haumii mwenye aliyefilisika, mnaumia nyie

Tujifunze to mind our own business

Na sisi tutafute hata kupata laki 2 kwa mwezi, kusubiri mtu aanguke ndio muanze kua counselors na maushauri nasaha kibao haina maana, maana mwisho wa siku ni PESA yake na maisha yake. Na pia ukisema watanzania wanafiki tumia neno "sisi", sema sisi watanzania wanafiki , sababu nina uhakika kabisa akianza kulipwa bilioni 10 kwa mwaka tena, mtakuja kumpa sifa kibao na kusema kwamba nyie ndio mmemfanya alipwe pesa nyingi sababu ya ushauri na saha zenu
 
Hiyo pesa yake ingeweza kumsaidia hadi bibi yako kijijini..

Tafuta akina Mutombo, Serge Ibaka na wengine wengi wanayoyafanya kwa nchi zao kupitia hiyo NBA. Mutombo ameenda mbali zaidi na kuhakikisha Africa inakuwa na ligi yake kama NBA na mwaka huu inaanza.

Mkuu acha ubinafsi, eti pesa ni yake. Hivi unafikiri huko US alifikaje fikaje kama sio kuna watu walimsaidia nyuma yake. Naye alikuwa na wajibu wa kusaidia wengine akachezea nafasi. Sasa acha asemwe liwe somo.

Na NBA hawezi kurudi. Mtu yuko G-league huko anacheza na vinyozi na plumbers unaota alipwe billion 10 tena??
 
Hahahahaaaa yaani mie naweza bet hata milioni 50 na mtu aweke JIWE kwamba Hasheem Thabeet hawezi rudi NBA hata kwa mitishamba....liwe funzo kwetu sote ukipata chance hakuna kuiachia...unakaza tu mwanzo mwenga kama kina Stephen Curry..........Kila akikukuruka anadondokea PUA πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
Hehehehehe mi walivyoanzisha huu uzi nilikuwa nawachora tu..

Steph anakunja Billion 80 kwa mwaka hapo bado commercial deals. Daaah
 
Point yangu ndio ile Ile...pesa yake isingemsaidia bibi yangu na haitomsaidia,
Narudia kusema pesa ni yake, na maisha yake, wewe ni nani kumpa ushauri nasaha? Who are you ...take a grip , hahaha, naona mmekalia ushauri nasaha kama vile mameneja wake, Tanzanians should mind your own damn business, pesa yake ni yake, sio ya watanzania, na washauri nasaha wa maisha yake binafsi kama wewe, hata tajiri Mo alisema juzi kua watanzania hawapendi kusoma kuongeza maarifa, but wazuri sana kufuatilia umbeya, na kukosoa maisha ya wengine, hao unawaowatolea mfano ni wao, wameamua hivyo, ya hasheem muachieni yeye aamue atakachofanya yeye .....get a grip boy !!! This life ain't shit when minding other people's businesses...
 
Unawachora sababu ndio maisha yako kufuatilia maisha ya wengine ...basi ngoja akae tu ili mseme zaidi ..
Mnasubiri hata afe then mje kusema kwamba mlimuambia na mtoe RIP za kinafiki
Hehehehehe mi walivyoanzisha huu uzi nilikuwa nawachora tu..

Steph anakunja Billion 80 kwa mwaka hapo bado commercial deals. Daaah
 
Unawachora sababu ndio maisha yako kufuatilia maisha ya wengine ...basi ngoja akae tu ili mseme zaidi ..
Mnasubiri hata afe then mje kusema kwamba mlimuambia na mtoe RIP za kinafiki
Unaumia sana Mzee?? Hehehe kula matembele na mama hapo Sinza.

Vipi bro hata camera hakutumiagi tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Sijui umeandika upuuzi gani? Yaani HASHEEM apambane kivyake bila support ya.nchi then we umekaa unatarajia jasho lake lilete matunda kwa kwa nchi na kizazi.chako? Yaani seriously unakasirika? .. tufanye yeye amefikia hapo then you take it to the next level!! Simple!!
 
Ali lost kuendekeza mapenzi
We mbona hujaendekeza mapenzi unachezea timu gani hapo NBA?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Hello..!
 
But rebounds ukizipata na kuzitumia vizuri unashinda game kirahisi tu.
 
Mkuu hiyo ligi itahusisha vilabu kutoka kwe nchi ama taifa kama taifa. Na itahusisha timu ngapi pia mda wa kuanza tafadhali
 
Mkuu hii GSW msimu huu wamekuwa kama malaya, leo alfajiri Blazers yangu itajipigia tu vile itakavyo. Namuona Lillard akitupia zaidi ya pointi 35.
Tafuta story za kina Pascal Siakam na Joel Embiid uje useme wana tofauti gani na Hashim (Hasheem).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…