Wachezaji wa NBA wanamipunga ya hatari,TOLU angetuliza "WENGE" angekuwa mbali sana.
Ni Rahisi sana kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko Hasheem Thabeet kurudi kucheza NBA.
Basi Marekani mabilionea ni wengi mno. Hebu nichekie jamaa mmoja anaitwa Damian Lillard nijue anaweka kiasi gani kwa mwaka
TOLU Akimuona Steph anatamani kulia.Mazigazi
Kama alikuwa draft pick namba 2 basi amezingua kinyama mwenzake curry pick namba 7 bado anakomaa tena analipwa mkwanja mrefu sana.
Kwahiyo jamaa alikuwa anahofia usalama ndio maana alikuwa anafikia hotelini, kama ni hivyo si angechukua bilioni 5 akajenga hekalu la maana. Alishindwa nn huyu kijana
Alikuwa ana hustle tu kama jina lako mizinga kwa sanaπππkipindi kabla ya kwenda NBA?? clouds alikuwa ana issue gani??
Alianza na hela ndogo kuliko ya Hasheem lakini sasa anakula mpunga mara 7 ya hashim zaidi ya bil 70 kwa mwaka.
View attachment 1254906
Watu wanajidanganya. Yule hata akienda morna bar ya croatia hapati namba. Wenzake wajanja wakiona upepo umekaza NBA wanakimbilia ulaya watambe hata Euroleague ili warudi Nba. Ulaya kipindi hiki wanaanza kukipa kipaumbele kikapu. Marekani ni kugumu hao maMVP wenyewe hawachukui back 2 back kama wakina messi na Cr7 kwenye football.
Jumba la tuko kwa nje ovyo ila Ndani balaavipi linaweza likafikia ile hadhi kama ya like la tiko tiko mzee wa kugawa kifusi bure??
Atakuwa bado marekani ila muda sana sijamuona kikapu itakuwa kwishneyyupo wapi now??
sasa mzee kama hamna kitu amefikaje pale NBA??
NI kweli alipopata mafanikio 2009 -2011 tulimpongeza ila kwa sasa "Anatembelea Rims" lazima tumwambie kwamba alisahau kuchukua "Mguu wa jini".Hata hapo alipo sasa si haba. Nakumbuka akiwa Charlie alikuwa akipanda lift pale kitegauchumi, akielekea clouds FM. Hali yake ya kipindi kile na ya sasa inautofauti wa mbingu na ardhi. Mafanikio aliyofikia anahitaji kupongezwa si kidogo!
Alikuwa na nyumba Oysterbay? Au Alimpangishia?aseee kwamba kauza nyumba au??
Mkuu nani kakuambia Mohd alikuwa hajui kusoma na kuandika?πππutaijuwa- utaijua,ndo madhara ya kumfuata mtume asiyejua kusoma na kuandika
Mm NBA naangaliaga ukianza mtoano. Bora niangalie Euroleague na Eurocup maana kuamka alfajiri kuangalia NBA inataka moyo kweli.Dah! Umenikumbusha ligi yangu pedwa baada ya NBA. Euroleague kuna timu kama CSKA Moscow, Anadolu, Real Madrid, Barcelona nakadhalika aisee hizo timu ni ngumu balaa.
Duhkwani kuna sehemu huyo jamaa aliyemuingilia mtoto wa miaka 9 ametajwa???
Hawezi tena kutamba NBA,kuna damu mpya zimeingia nyingi sana toka yeye alegeze kamba.Background ya Curry na Thabeet ni tofauti sana ndugu nadhani hasheem kuna misingi flan anaikosa sababu hakuucheza mchezo huu tangia utotoni ila ukweli anajitahidi sana ku cope na wenzake waliokuzwa katika mchezo huu toka utotoni ..
Huyu jamaa namkubal sana, tolu angekomaa saizi angekuwa level hizi. Mkuu unaangalia kupitia web ipi hiz mambo?
Memphis Grizzlies walikuwa wanamlipa 10 Bilions kwa mwaka.hivi hashim pale Memphis alikuwa analipwa kiasi gani kwa mwaka??