interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Wenye hekima walisema ukiwa nyota kiwango kilekile cha sifa unazopewa unapofanya vizuri kitakua Sawa na kiwango cha lawama/matusi ukivurunda.
Ila sisi waswahili tunataka kusifiana tuu hata kama hamna cha kusifu
Umeambiwa Samatta hatombani?apunguze zinaaa.Ajitume kama samatta
Ni kweli habari yenyewe imekaa kama imetengenezwa nyumbani,ok,nimeikuta sehemu hii hapa https://www.msn.com/en-us/sports/nba/hasheem-thabeet-to-work-out-for-bucks/ar-AAFDH8Q ...SOURCE ???
Acheni unafki, mbona kupoteza mwelekeo katika jambo lolote lile kimaisha ni kawaida tu, vipi kuhusu Rinaldinho Gaucho toka Barcelona ? naye tunachukia mafanikio yake tumuongelea hapa JF?Akijibu nistue tafadhali mana hao mahakimu wa hisia hawacheleweshi hukumu..
Na hicho tu ndio kinachoonekana na haters .. juhudi zake zote za kupambana zilizomfanya kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza NBA huwa hatuzioni na wala hatutaki kujifunza kupitia yeye ..
Kamgonga hadi jokateNgoja tuone lakini jamaa alichezea shilingi chooni ikadumbukia,michezo kama hiyo inahitaji mazoezi sana sasa yeye mda mwingi alikuwa anashinda clubs TZ mara kapigana na TID,Kugegeda hovyo na kina jokate,mda mwingi anashinda kwenye vituo vya redio na TV,ajifunze ingawa nina imani alishafika Peak yake huyo mtu.
Na hicho tu ndio kinachoonekana na haters .. juhudi zake zote za kupambana zilizomfanya kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza NBA huwa hatuzioni na wala hatutaki kujifunza kupitia yeye ..
Yes Kamkamua.Kamgonga hadi jokate
Ahaaaa ,sawaYes Kamkamua.
Ataonekana tena akichezea Milwaukee Bucks.ndugu yetu bado anaendelea kupambana na wachambuzi wanasema yupo kwenye good shape ya kuweza kumudu mikiki mikiki ya NBA.
wabongo tuache unafiki wa kumbeza ndugu yetu huu mchezo alijifunzia ukubwani hatua hii aliyofikia sio ya kubeza hata kidogo na wachache sana wangeweza kufikia hapo alipofikia yeye
All the best Mtanzania mwenzetu. Uzalendo kwanza !
Maana yake anakwenda kufanya majaribio na Bucks ila akikidhi mategemeo atachukuliwa alishindwa ataendelea na maisha yake. Tatizo linakuja hapa, Hasheem ni Bigman na sifa yake ni kuchukua rebounds na kupost. Mahitaji ya sasa ya NBA yanataka Bigmen wanaoweza ku shoot ndani na nje ya 'D'. Je Hasheem anaweza ku shoot 3 points? au hata ndani ya D? Yote haya yatajulikana next week kwenye hiyo workout.Ni kweli habari yenyewe imekaa kama imetengenezwa nyumbani,ok,nimeikuta sehemu hii hapa https://www.msn.com/en-us/sports/nba/hasheem-thabeet-to-work-out-for-bucks/ar-AAFDH8Q ...
unawaza zinaa tu mkuu? Mshauri aongeze focusapunguze zinaaa.Ajitume kama samatta
Ataonekana tena akichezea Milwaukee Bucks ndugu yetu bado anaendelea kupambana na wachambuzi wanasema yupo kwenye good shape ya kuweza kumudu mikiki mikiki ya NBA.
wabongo tuache unafiki wa kumbeza ndugu yetu huu mchezo alijifunzia ukubwani hatua hii aliyofikia sio ya kubeza hata kidogo na wachache sana wangeweza kufikia hapo alipofikia yeye
All the best Mtanzania mwenzetu. Uzalendo kwanza !
Maana yake anakwenda kufanya majaribio na Bucks ila akikidhi mategemeo atachukuliwa alishindwa ataendelea na maisha yake. Tatizo linakuja hapa, Hasheem ni Bigman na sifa yake ni kuchukua rebounds na kupost. Mahitaji ya sasa ya NBA yanataka Bigmen wanaoweza ku shoot ndani na nje ya 'D'. Je Hasheem anaweza ku shoot 3 points? au hata ndani ya D? Yote haya yatajulikana next week kwenye hiyo workout.
Ila kwa matokeo yeyote Hasheem hakuitendea vizuri fursa aliyopata kuwa second pick ya mwaka 2009. Laiti angekuwa msikivu basi leo Tanzania ingekuwa ni mlango wa vijana kwenda NBA. Kiburi, dharau na kutoshaurika ndiyo kilichomharibu bila kusahau fedha nyingi za ghafla aliyopata baada ya mkataba wa kwanza na Memphis
amealikwa kwenye interview milwauke bucks next week.. tumuombee heri akafanye vizuri majaribio yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We mbona hujaendekeza mapenzi unachezea timu gani hapo NBA?