Tetesi: Ndugu yetu Hasheem Thabeet anarejea NBA

Maana yake anakwenda kufanya majaribio na Bucks ila akikidhi mategemeo atachukuliwa alishindwa ataendelea na maisha yake. Tatizo linakuja hapa, Hasheem ni Bigman na sifa yake ni kuchukua rebounds na kupost. Mahitaji ya sasa ya NBA yanataka Bigmen wanaoweza ku shoot ndani na nje ya 'D'. Je Hasheem anaweza ku shoot 3 points? au hata ndani ya D? Yote haya yatajulikana next week kwenye hiyo workout.

Ila kwa matokeo yeyote Hasheem hakuitendea vizuri fursa aliyopata kuwa second pick ya mwaka 2009. Laiti angekuwa msikivu basi leo Tanzania ingekuwa ni mlango wa vijana kwenda NBA. Kiburi, dharau na kutoshaurika ndiyo kilichomharibu bila kusahau fedha nyingi za ghafla aliyopata baada ya mkataba wa kwanza na Memphis
Anakwenda G-league. Soma hapa;

October is comeback season in professional basketball, and that extends far beyond the NBA. Former No. 2 overall pick Hasheem Thabeet, who last played in Japan for the Yokohama B-Corsairs during the 2017-18 season, has signed a G League contract, according to Shams Charania of The Athletic.

G League contracts are not signed with individual teams, but rather, with the league as a whole. As no NBA team currently holds his rights, he will be assigned to a G League team before the season starts.

Thabeet first told CBS Sports of his plans to return to basketball in January, and he worked out informally with the New York Knicks during the offseason. He did not land on the training camp roster of any NBA team earlier this fall, but he will now have a chance to prove that he belongs in the league against American competition for the first time since the 2014-15 season when he played for the G League's Grand Rapids Drive.

The G League has become an increasingly feasible path to the NBA even for former NBA Draft busts. Anthony Bennett, for instance, earned a non-guaranteed contract from the Houston Rockets this offseason based on his performance in the G League. Injuries forced the Rockets to waive him before he had a chance to earn a regular-season roster spot, but the blueprint is one that Thabeet could theoretically follow. Play well enough against lesser competition to earn a chance in the NBA.
 
Another good news.. sasa hizi ndio habari ambazo wabongo hawataki kuzisikia kisa eti Hasheem alikuja bongo akatamba na Hummer, akatembea na Jolate na akagombana na TID!! .. nonsense!!.. alipambana mwenyewe akafika alipofika akapotea anapambana tena kurudi kwa juhudi zake binafsi wamarekani wanasema yupo kwenye shape ya kurudi wabongo wanasema hawezi kurudi tena!! .. jealous or something?
Mkuu Hasheem anakipiga timu gani?
 
Mkuu Hasheem anakipiga timu gani?
Hashim is a bust!! Bahati haiji mara 2. Kuanzia mwanzoni mwa mwaka huu amekuwa akifanya work outs na timu kadhaa kama Knicks na Bucks lakini hawakumuina kama anawafaa. Finally amepata usajili kwenye timu ya Mad Ants inayoshirili G-League. Mad Ants ni timu ndogo ya Indiana Pacers. Amekuwa anafeli kupata timu kubwa kwa vile sasa hivi NBA timu zinataka bigmen wanaofunga nje ya eneo la D. Skills za Hashim ziko limited kwenye defence tu, blocking and rebounding.

Mshahara kwa mwaka kwenye Mad Ants ni kati ya USD 35,000 na 106,000.
 
Million 70 kwa US hata bongo huleti akiba aisee.. Pole yake..

Nilishangaa walipojiaminisha atapata timu NBA..
 
Stop being a sissy!

Unaleta uzi unaogopa mabishano,fvck outta here!

Hivi unapobishania Pogba anavyocheza vibaya,hivi wewe unaweza cheza mpira kama yeye?

Kwanini unalalamika?Sababu ni kwamba you are fan nigga!Sio eti unajua kucheza kama yeye!

You are auch a pussy giver!

Im an NBA fan,fo’real na sio eti najua kicheza professionally kama wao,ila ubishani ni haki ya fans you dummy!

Huyo kibuyu mwenzio hana 10-days hapo lazima awe cut kama mara zingine zote alizojaribu motherfvckee!

Hakuna kitu mle,lia garagaza,hamna kitu....Mkisikia hivyo mnaharisha na ni fact!

Fvck you very much!
we jamaa huko kwenye tasnia yako ya engineer watu watakuwa wanapumua kweli. Maana una mkwara sio wa kitoto aise
 
Million 70 kwa US hata bongo huleti akiba aisee.. Pole yake..

Nilishangaa walipojiaminisha atapata timu NBA..

Aisee unampa pole milionea anayefanya kazi marekani ?? Wape pole ndugu zako ambao kipato chao ni chini ya dola moja kwa siku!!
 
Dola 35,000 kwa Marekani hiyo pesa hata pornstar anatengeneza tena zaidi ya hiyo..

Hiyo pesa hata Rookies wa NBA wanaitengeneza kwa nusu mwezi tu. Yeye babu mzima anaitengeneza kwa mwaka!! Aibuuuu aisee

Na kwa gharama za maisha ya US hiyo pesa ni ndogo sana. Hawezi hata nunua nyumba ataishi ishi ghetto tu..
 
Wewe unapokea dola ngapi )?

#172
IMG_20191103_093555.jpeg
 
Wewe unapokea dola ngapi )?
Sipokei hata kitu mkuu lakini sijawahi kuyachezea maisha yangu. Yaani kwa kifupi I've no regrets.. I've got everything that a kid on your block is starving to get.

Sasa ushawahi kujiuliza huyo jamaa anavyomwaga chozi akimuona Steph Curry, James Harden, Blake Griffin and the likes.. Unafikiri hajutii ujinga alioufanya wa kuja kupiga watu mitama.

Look now, even a lady he dumped (Jokate) is now bigger than him. Has a respected career while ye bado anakimbilia uzeeni anatafuta second chance ya kucheza NBA.

Nasikia sasa mamake ashamwamisha Masaki kamrudisha Sinza. Isn't that a downfall??
 
Noma kweli,Hasheem kachezea bahati,tusimjaze ujinga,TOLU amefeli....Kutoka kuingiza zaidi ya Bilioni 10 kwa mwaka mpaka milioni 70 kwa mwaka?
 
Yaani napata shida kujua hata zile pesa alizopata wakati ule ziko wapi!

Kwa maisha ya Nchi za magharibi hata uwe na millions ila ukifanya kosa dogo umekwisha
Alinunua Hummer(Nyeupe),Range Rover(Black) na Tako la nyani(Harrier-Nyeusi) alimnunulia mama yake...Sidhani kama alikumbuka kununua hata kiwanja achilia mbali kujenga.

HT.jpg
 
Noma kweli,Hasheem kachezea bahati,tusimjaze ujinga,TOLU amefeli....Kutoka kuingiza zaidi ya Bilioni 10 kwa mwaka mpaka milioni 70 kwa mwaka?
Watanzania wanafki sana mkuu.. Na lazima tumseme ili akitokea mwingine akifika kwenye hiyo chance asiichezee.

Hata hawa akina Samatta wanachukua hili somo ndio maana tunawaona hawafanyi mzaha mzaha huko waliko.. Tukiendelea kuchekeana eti ni struggle zake ndio zimemfikisha pale kwahiyo tukae kimya ni ujinga. NBA is bigger that personal self, yule alibeba identity ya nchi. Tumeshawahi kujiuliza kama angekuwa Star level za kina Curry Tanzania tungenufaikaje? Kwa profile yake je tusingeongeza idadi wa utalii? Idadi ya watu watakayoijua nchi yetu? Je asingeweza shawishi collage mbalimbali kuja kusaka vipaji vingine huku kwetu? Ajira ngapi angeweza tengeneza hapa nyumbani na hata huko nje kupitia basketball players wa hapa nyumbani? Pesa ngapi ange inject hapa nchini? Je asingesaidia communities kama wafanyavyo wenzake??

Tukiyaangalia haya yote hatutaweza kuchekeana chekeana na lazima kwa uzembe alofanya asemwe tu ili wakitokea wengine wajifunze..
 
Kabisa mkuu umeongea ukweli mtupu,Hasheem asingetoa BOKO angelinufaisha sana taifa,watu wakimsema vibaya hasheem wanakuchukulia ni hater wakati ni muhimu kuambiana ukweli ili ambao wapo kwenye peak wasicheze,ni kweli 255 Mbwana samatha anatupaisha sana sisi waTZ na tunafurahia na tumeona somo kwa mbwana hafanyi UJINGA tena wa Hasheem,hata akija bongo ni kimya kimya na akija kuiwakilisha Taifa star akishamaliza mechi huyo usiku usiku anachukua pipa anarudi KAZINI,hataki mchezo na KAZI.

Wabongo sisi ni wanafiki,hasheem kasanda, tumwambie ukweli tu,2009-2010 alikuwa kwenye peak sana na alikuwa anaingiza mkwanja mrefu hatari,sifa zilimponza,liwe funzo kwa watu wengine katika level zote,ukipata chance usiichezee....Hasheeem hawezi kurudi tena hata awange usiku kucha kashapoteza...umri nao unamtupa.
 
Back
Top Bottom