NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Lissu anasepa zake Ubelgiji na tiketi anayo tayari,tafuta mwingine.Lisu na Chadema msikubali udhalimu huu. Kama kuna njia yoyote ya kuudhibiti itumieni hata kama ina madhara kwa taifa letu. Liwalo na liwe!
Mabeberu yanawatosha kuwazalisha hamna haja ya kukimbizana na mapolisi wakati kuna njia rahisi na ya uhakikaIngia barabarani ndugu
Mliamua kwa makusudi kabisa kumwaga ugali! Hivyo muacheni na Lissu naye amwage mboga.
Hakuna namna! Dawa ya moto ni moto tu. Mabeberu lazima wafahamu kila uovu mlio ufanya safari hii.
#Mitaani Wasimamizi Wanasema Kila kitu: Wewe ni shahidi muhimu sana katika hili unalodai na bahati nzuri IP yako inakusoma vizuri; Kama umeropoka kufurahisha jukwaa ni bora ukiri na kurekebisha.huku mtaani kuna wasimamizi wanaongea kila kitu, wanasema jinsi walivyolazimishwa kupenyeza kura feki
Mpuuzi sana huyoEti wanaChadema wa Kaskazini..
Matakor yenu
Unatuona watoto sio?
Kuukubali udhalimu mkubwa uliofanywa na huyo anayejiita mwendawazimu ili kung’ang’ania madarakani itakuwa ni kosa kubwa sana ambalo Lissu hawezi kulifanya. Penye udhalimu wa aina yoyote ile raia ni lazima wasimame kidete kuupinga udhalimu huo na hili jukumu si la Lissu pekee yake au Chadema pekee yake bali ni la Watanzania wote wapenda uhuru, haki na amani ya kweli.
Mbona mkielezwa ukweli mnabaki kusema ingieni barabarani?Ingia barabarani ndugu
Acha vitisho wewe! Eboo. Yaani kutishana tu kwenye hii nchi kuanzia juu mpaka vinyangalika wanaotumia id fake nao eti wanawatisha wenzao wenye id fake.#Mitaani Wasimamizi Wanasema Kila kitu: Wewe ni shahidi muhimu sana katika hili unalodai na bahati nzuri IP yako inakusoma vizuri; Kama umeropoka kufurahisha jukwaa ni bora ukiri na kurekebisha. Lakini kama una uhakika kuna msimamizi wa kura alikuthibitishia alilazimishwa kupokea kura ghushi akanyamaza kwa madai ya hofu yake, lakini baada ya kutoka akakutumia wewe kuropoka uzushi huu hapo ni kosa la jinai. Hakuna msimamizi atakuja kwako kukuambia eti alilazimishwa kushiriki wizi wakati akijua aliapa na alikuwa na uwezo wa yeye akatumia feki ID akaweka ujumbe huo hapa jukwaani au kutoa taarifa kwenye tume.
Anaenda kutibiwa tu halafu anarudi na hamtamfanya kitu. Atamfanyia kitu mbaya sana huyo mhutu wenu mpk hataamini macho yake. Chezea Lisu wewe!Lissu anasepa zake Ubelgiji na tiketi anayo tayari,tafuta mwingine.
Hii inaitwa Jaribu kuingia Barabarani utatukuta walinda amani tunawasubiri ninyi msiopenda ugaliWizi na udanganyifu hauvumiliki
Hii inaitwa Jaribu kuingia Barabarani utatukuta walinda amani tunawasubiri ninyi msiopenda ugaliAcha vitisho wewe! Eboo. Yaani kutishana tu kwenye hii nchi kuanzia juu mpaka vinyangalika wanaotumia id fake nao eti wanawatisha wenzao wenye id fake.
Dah nalog off kwa kweli. Nsije tukana
Lipumba mwenyewe kasema uchaguzi huu ni kiboko kwa sababu ya kuiandika namba yako ya mpiga kura soo wanabaki nayo wewe unaenda kuweka karatasi yako ya kura kwenye boksi sasa mimi nashangaa wakala anaibiwaje na fundi wa kuyajua mambo ya Tanzania yule Bwana kigogo wa twitter hakujua yeye si anajua kila kitu.Let's udhibitisho, kura feki zipojee wale mawakala wakafanyaje, licha ya ivo kina majaribu unaambiwa uingize kura za Nini
Aende akatibiwe,akirudi kuna kazinyingi sana serikalini kama vipi ata ubalozi utamuhusu.Anaenda kutibiwa tu halafu anarudi na hamtamfanya kitu. Atamfanyia kitu mbaya sana huyo mhutu wenu mpk hataamini macho yake. Chezea Lisu wewe!
Mkiweza kumnunua chadema inakufa. Jambo ambalo ni gumu kama kufunika jua kwa shukaAende akatibiwe,akirudi kuna kazinyingi sana serikalini kama vipi ata ubalozi utamuhusu.
akuna mkate mgumu mbele ya tea.
Anunuliwi bali atapewa mustakbali wa taifa letu,na yeye kamayeye aonyeshe mchangowake kwenye ujenzi wa taifaletu pendwa.Mkiweza kumnunua chadema inakufa. Jambo ambalo ni gumu kama kufunika jua kwa shuka