Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli hii ndiyo Afrika na tuko Afrika. Lkn watu kama Tundu Lisu wako Afrika bahati mbaya tu. Uwezo wa kufikiri na misimamo yao siyo ya kiafrika.Anunuliwi bali atapewa mustakbali wa taifa letu,na yeye kamayeye aonyeshe mchangowake kwenye ujenzi wa taifaletu pendwa.
akiitwa Ikulu ili kutengeneza maridhiano ya kitaifa ndo utaelewa.
kwani cha ajabu ni nini mpaka isiwezekane?
kesi zake zitaisha na ruzuku ya ajali yake ya kupigwa risasi na majambazi atapatiwa.
kwishaa,hii ndo Africa.
Thibitisha....wananchi hawajakubali madini yao kuwekwa rehani ndio kisa cha kumpigia kura za upendo na wivu mkubwa Rais Magufuli.kuna kura zilishapigwa before na wao ilikuwa ni kuzichanganya na zinazopigwa siku ile, ukisema kithibitisho unamaanisha unataka nini?
Enhe wenje kafanywaje huko,embu nusanusa tujue,nasikiasikia fununu ambazo sionzuri kwake?Ni kweli hii ndiyo Afrika na tuko Afrika. Lkn watu kama Tundu Lisu wako Afrika bahati mbaya tu. Uwezo wa kufikiri na misimamo yao siyo ya kiafrika.
Sina fununu zozote. Maana nisha acha kufuatilia uchafuzi huu.Enhe wenje kafanywaje huko,embu nusanusa tujue,nasikiasikia fununu ambazo sionzuri kwake?
Angalia hii fupi tu ya kawe30 OKTOBA 2020
Tumekuwa wafuatiliaji wakubwa wa kampeni zako tukiwa na matarajio ya kupata mengi mazuri baada ya kurudi kutoka Ubelgiji ukionyesha hali ya kushiriki vema katika kampeni zako.
Na kwa kweli ulianza vema ufunguzi wa kampeni zako kupitia CHADEMA yetu, ila tulianza kupata shaka baada ya kuona kauli zilizoanza kutoka muda mfupi baadaye ambazo zilitukumbusha msemo wa wahenga 'Asiyekubali kushindwa si mshindani.'
Hii ni kwa sababu ulituonyesha kuwa hukuja kushindana bali ulikuja kushinda kwa njia yoyote ile. Kauli zako zilionyesha hamasa za kuleta vurugu kati ya jamii na ndugu zetu Watanzania ili kuiangusha CCM hata kwa kumwaga damu ili wewe ukae katika kiti cha urais.
Leo tumesikiliza taarifa yako ya kukataa matokeo yanayoendelea kutolewa ukishinikiza jamii ya kimataifa kukataa uchaguzi huu. Tunadhani mshtuko mkubwa ulioupata wewe na viongozi wetu wa CHADEMA ni kuangushwa kwa Mgombea Freeman Mbowe ambaye amekuwa ni mbunge kwa miaka mingi na wabunge wengi mashuhuri hali ambayo hukufikiria.
Pengine ni kutoijua vizuri nchi yako kwa kipindi ulichokuwa ughaibuni. Ila tungependa kukujulisha yafuatayo kwa faida yako na viongozi wengine wa CHADEMA tukijibu mazungumzo yako ya leo.
1. UCHAGUZI NI HURU NA WA HAKI
Hakuna Mtanzania hata mmoja aliyekataliwa kupiga kura ikiwa na vigezo vinazohitajika. Mawakala wetu wa CHADEMA wametujulisha kuwa walikuwepo na wameshuhudia zoezi isipokuwa wanashangaa video zilizosambaa mtaani zikionyesha uzushi wa kutengeneza kuwa kura zimekamatwa.
Jamii za kimataifa zimefika na kuangalia zoezi zima. Hivyo, unachosema ni kujaribu kutafuta sababu ikiwa hali halisi unaijua. Tukubali tu tulizoea ubabaishaji ila sasa hivi tujipange upya kwa ajili ya uchaguzi ujao. Pia suala la mawakala kutopewa nakala za matokeo ni uzushi kwani chama chetu hadi kufikia usiku wa tarehe 28/10/2020 tulishajua upepo si mzuri.
2. HATUKUONEWA
Wanachadema tunajiuliza swali; Kama mawakala walikuwepo na hakuna aliyetoa ushahidi wa kukataliwa kuingia kituoni kwa nini hatusikii malalamiko hayo toka kwa mawakala na matokeo yake malalamiko yapo kwa wagombea walioshindwa ukiwemo wewe?
Tulisimamisha wagombea 244 lakini hatukuwawezesha fedha wagombea wetu wa ubunge kutokana na ukata katika chama. Fedha zipo lakini mwenyekiti na sekretarieti yake walikataa kutoa fedha hizo ili zikatusaidie na badala yake zimeendelea kupelekwa kwenye miradi binafsi ya viongozi.
Wabunge wetu walichangishwa kwa muda wa miaka mitano kwa sababu ya kuandaa fedha za kampeni lakini muda ulipofika hawakurudishiwa fedha zile hivyo kushindwa kuzunguka na kuomba kura.
Tujitafakari Wanachadema na viongozi wetu wametuangusha. Tunaamini walijua hawawezi kushinda ndio sababu.
3. HATUKO TAYARI KUANDAMANA WALA KUGOMA
Kura tumepiga tukimchagua kiongozi ambaye kwa miaka mitano amejinyima na kukaa na sisi Watanzania kwa kuijenga nchi yetu iweze kujitegemea. Tukitegemea uje na sera nzuri za kuboresha maendeleo ya uchumi wa nchi yetu na kuendelea kupunguza utegemezi ila muda mwingi wa kampeni zako ulitumia kuisema CCM kwa kusema unataka maendeleo ya watu na si vitu ili kuenda kinyume na mengi makubwa yaliyofanywa na CCM kuboresha barabara, shule, zahanati. Hali hii ilitufanya tujiulize maswali mengi juu ya uwezo wako.
Pia ulitumia muda mwingi kueleza ulivyoshambuliwa lakini sisi wafuasi wako tulitaka kujua utafanya nini ukichaguawa au kwanini tukupe dhama ya uongozi wa nchi? Ulishindwa kujibu maswali hayo na badala yake ulitumia muda mwingi kuonyesha umma wa wanachadema na Watanzania kuwa unaonewa. KWA MAELEZO HAYA HATUWEZI KUANDAMANA KABISA KWA AJILI YAKO.
4. CHAMA HAKIKUJIANDAA KUHUSU WEWE
Sisi Wanachadema tumechoshwa na maandalizi duni ya chama hasa kipindi hiki cha uchaguzi. Pamoja na malalamiko ya kutokuwa na fedha. Zipo taarifa kuwa wewe haukuandaliwa kugombea na ujio wako hakukubalika katika chama hadi kufikia kukataa kutoa fedha kwa ajili ya kampeni zako.
Pia, ushirikiano wako na viongozi wa juu wa chama haukuwepo na hawakuonekana katika mikutano yako. Kwetu sisi kama wanachadema tuliona ni tatizo kubwa sana. Taarifa tulizopata zilionyesha kuna mgogoro mkubwa wa maslahi ndani ya chama na mwenyekiti hakukukubali ndio maana hakuweza kukusaidia kampeni zako.
5. UNATUMIKA NA MATAIFA MAKUBWA KUHATARISHA AMANI YA NCHI
Tunafahamu wewe ni mwanasheria mzuri wa kimataifa. Kwa nini umlete Robert Amsterdam aje kama mwanasheria wako? Je, kuna maslahi gani amekuja kuyasimamia? Tumekuwa tukipinga sana ushoga na zipo taarifa kuwa umedhaminiwa na mataifa makuwa ili ukipata uongozi uidhinishe ushoga na kuuza madini yetu nje ya nch na ukishindwa uanzishe hata vurugu kwa mgongo wa demokrasia ili kutufikisha kama Libya ambako wanapigana vita vya wenyewe kwa wenyewe hadi sasa. Leo, Robert Amsterdam yupo Uturuki akisubiri Watanzania tupigane kwa uchochezai aliouandaa kupitia wewe. Tunakushauri kaungane naye tu muendelee na maisha yenu.
HITIMISHO
Tanzania itabaki kuwa nchi ya amani na maendeleo yataletwa na sisi wenyewe kamwe hatutakubali kununuliwa kwa bei yeyote tupo macho.
NI SISI WANACHADEMA KANDA YA KASKAZINI
Maoni yangu chadema wasikubali haya matokeo.. wasiende kwenye maandamano maana wananchi bado hawana ujasiri huo..30 OKTOBA 2020

Hayo maoni yako Ila ukweli unaujua, kazi kubwa chadema sahivi inaposti propaganda ili kupata sympathy ya wazungu. Na ndo maana tunabadil maamuzi kuchagua watu na viongozi wanaotupa sera za kueleweka.Watawala ndio wamekutuma uje kutu-test?!
Kawaambie hivi uchaguzi huu wameiba kishamba sana hata wana ccm tulionao huku mtaani hawajapenda!!!.
[emoji23] wamekuonesha IDs zao kuwa ni wasimamizi? Pia unajua wale wanaoongelea Sana kuwa wameonewa ndo hao wa kwanza kufanya udanganyifu. Yale mabegi yote yalikua ya chadema kuimplant uvunjifu wa amani na kumaster mind one thing " kukataa matokeo" you all know that.Hapo kwenye uchaguzi wa haki bora usipaongelee maana huku mtaani kuna wasimamizi wanaongea kila kitu, wanasema jinsi walivyolazimishwa kupenyeza kura feki
Nifute kwaajili gani?, I do support JPM kwani naona na napenda what he has done with this country. If is was up to me ningemwongezea hata 20yrs Kama Mungu angempa uzima. That's my opinions sikuzuii kutoa zako kwani hii ni nchi huru.Wewe ndio unajiita mwana Chadema?![emoji44]
Muwe mnafuta na posts zenu za nyuma basi msijiabishe. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1616013
🤣🤣🤣🤣🤣Hii inaitwa Jaribu kuingia Barabarani utatukuta walinda amani tunawasubiri ninyi msiopenda ugali
Mbona ni rahisi Sana, Ingia barabarani nasi tufanye yetu
30 OKTOBA 2020
Tumekuwa wafuatiliaji wakubwa wa kampeni zako tukiwa na matarajio ya kupata mengi mazuri baada ya kurudi kutoka Ubelgiji ukionyesha hali ya kushiriki vema katika kampeni zako.
Na kwa kweli ulianza vema ufunguzi wa kampeni zako kupitia CHADEMA yetu, ila tulianza kupata shaka baada ya kuona kauli zilizoanza kutoka muda mfupi baadaye ambazo zilitukumbusha msemo wa wahenga 'Asiyekubali kushindwa si mshindani.'
Hii ni kwa sababu ulituonyesha kuwa hukuja kushindana bali ulikuja kushinda kwa njia yoyote ile. Kauli zako zilionyesha hamasa za kuleta vurugu kati ya jamii na ndugu zetu Watanzania ili kuiangusha CCM hata kwa kumwaga damu ili wewe ukae katika kiti cha urais.
Leo tumesikiliza taarifa yako ya kukataa matokeo yanayoendelea kutolewa ukishinikiza jamii ya kimataifa kukataa uchaguzi huu. Tunadhani mshtuko mkubwa ulioupata wewe na viongozi wetu wa CHADEMA ni kuangushwa kwa Mgombea Freeman Mbowe ambaye amekuwa ni mbunge kwa miaka mingi na wabunge wengi mashuhuri hali ambayo hukufikiria.
Pengine ni kutoijua vizuri nchi yako kwa kipindi ulichokuwa ughaibuni. Ila tungependa kukujulisha yafuatayo kwa faida yako na viongozi wengine wa CHADEMA tukijibu mazungumzo yako ya leo.
1. UCHAGUZI NI HURU NA WA HAKI
Hakuna Mtanzania hata mmoja aliyekataliwa kupiga kura ikiwa na vigezo vinazohitajika. Mawakala wetu wa CHADEMA wametujulisha kuwa walikuwepo na wameshuhudia zoezi isipokuwa wanashangaa video zilizosambaa mtaani zikionyesha uzushi wa kutengeneza kuwa kura zimekamatwa.
Jamii za kimataifa zimefika na kuangalia zoezi zima. Hivyo, unachosema ni kujaribu kutafuta sababu ikiwa hali halisi unaijua. Tukubali tu tulizoea ubabaishaji ila sasa hivi tujipange upya kwa ajili ya uchaguzi ujao. Pia suala la mawakala kutopewa nakala za matokeo ni uzushi kwani chama chetu hadi kufikia usiku wa tarehe 28/10/2020 tulishajua upepo si mzuri.
2. HATUKUONEWA
Wanachadema tunajiuliza swali; Kama mawakala walikuwepo na hakuna aliyetoa ushahidi wa kukataliwa kuingia kituoni kwa nini hatusikii malalamiko hayo toka kwa mawakala na matokeo yake malalamiko yapo kwa wagombea walioshindwa ukiwemo wewe?
Tulisimamisha wagombea 244 lakini hatukuwawezesha fedha wagombea wetu wa ubunge kutokana na ukata katika chama. Fedha zipo lakini mwenyekiti na sekretarieti yake walikataa kutoa fedha hizo ili zikatusaidie na badala yake zimeendelea kupelekwa kwenye miradi binafsi ya viongozi.
Wabunge wetu walichangishwa kwa muda wa miaka mitano kwa sababu ya kuandaa fedha za kampeni lakini muda ulipofika hawakurudishiwa fedha zile hivyo kushindwa kuzunguka na kuomba kura.
Tujitafakari Wanachadema na viongozi wetu wametuangusha. Tunaamini walijua hawawezi kushinda ndio sababu.
3. HATUKO TAYARI KUANDAMANA WALA KUGOMA
Kura tumepiga tukimchagua kiongozi ambaye kwa miaka mitano amejinyima na kukaa na sisi Watanzania kwa kuijenga nchi yetu iweze kujitegemea. Tukitegemea uje na sera nzuri za kuboresha maendeleo ya uchumi wa nchi yetu na kuendelea kupunguza utegemezi ila muda mwingi wa kampeni zako ulitumia kuisema CCM kwa kusema unataka maendeleo ya watu na si vitu ili kuenda kinyume na mengi makubwa yaliyofanywa na CCM kuboresha barabara, shule, zahanati. Hali hii ilitufanya tujiulize maswali mengi juu ya uwezo wako.
Pia ulitumia muda mwingi kueleza ulivyoshambuliwa lakini sisi wafuasi wako tulitaka kujua utafanya nini ukichaguawa au kwanini tukupe dhama ya uongozi wa nchi? Ulishindwa kujibu maswali hayo na badala yake ulitumia muda mwingi kuonyesha umma wa wanachadema na Watanzania kuwa unaonewa. KWA MAELEZO HAYA HATUWEZI KUANDAMANA KABISA KWA AJILI YAKO.
4. CHAMA HAKIKUJIANDAA KUHUSU WEWE
Sisi Wanachadema tumechoshwa na maandalizi duni ya chama hasa kipindi hiki cha uchaguzi. Pamoja na malalamiko ya kutokuwa na fedha. Zipo taarifa kuwa wewe haukuandaliwa kugombea na ujio wako hakukubalika katika chama hadi kufikia kukataa kutoa fedha kwa ajili ya kampeni zako.
Pia, ushirikiano wako na viongozi wa juu wa chama haukuwepo na hawakuonekana katika mikutano yako. Kwetu sisi kama wanachadema tuliona ni tatizo kubwa sana. Taarifa tulizopata zilionyesha kuna mgogoro mkubwa wa maslahi ndani ya chama na mwenyekiti hakukukubali ndio maana hakuweza kukusaidia kampeni zako.
5. UNATUMIKA NA MATAIFA MAKUBWA KUHATARISHA AMANI YA NCHI
Tunafahamu wewe ni mwanasheria mzuri wa kimataifa. Kwa nini umlete Robert Amsterdam aje kama mwanasheria wako? Je, kuna maslahi gani amekuja kuyasimamia? Tumekuwa tukipinga sana ushoga na zipo taarifa kuwa umedhaminiwa na mataifa makuwa ili ukipata uongozi uidhinishe ushoga na kuuza madini yetu nje ya nch na ukishindwa uanzishe hata vurugu kwa mgongo wa demokrasia ili kutufikisha kama Libya ambako wanapigana vita vya wenyewe kwa wenyewe hadi sasa. Leo, Robert Amsterdam yupo Uturuki akisubiri Watanzania tupigane kwa uchochezai aliouandaa kupitia wewe. Tunakushauri kaungane naye tu muendelee na maisha yenu.
HITIMISHO
Tanzania itabaki kuwa nchi ya amani na maendeleo yataletwa na sisi wenyewe kamwe hatutakubali kununuliwa kwa bei yeyote tupo macho.
NI SISI WANACHADEMA KANDA YA KASKAZINI
Aisee una roho ngumu.Hivi Lissu ndo wa kumpa ushauri huu?30 OKTOBA 2020

Na mguu ule ambao haukunjiki utarudishwa kwenye hali yake ya awali kama Mungu alivyomuumba?Anunuliwi bali atapewa mustakbali wa taifa letu,na yeye kamayeye aonyeshe mchangowake kwenye ujenzi wa taifaletu pendwa.
akiitwa Ikulu ili kutengeneza maridhiano ya kitaifa ndo utaelewa.
kwani cha ajabu ni nini mpaka isiwezekane?
kesi zake zitaisha na ruzuku ya ajali yake ya kupigwa risasi na majambazi atapatiwa.
kwishaa,hii ndo Africa.
Huu ujumbe ni mkali sana kuusoma na mzito kuuchangia lakini pasi na shaka huu ndio ukweli mchungu na kumtembeza sheikh ponda kwenye chopa ili kumuudhi gwajima!
Mwisho wa siku inabidi tujifunze from all we do, chama kinajisahau na kuwana plan za kizembe. Huwezi build up a strong house without a stronger foundation. Chama kimefocus kwa Rais instead kingejipa muda na kufocus Sana huku chini madiwani na wabunge kubuild up a very strong base ya kuja kupenya nayo. Mwisho wa siku wanasusiana na kusahau the foundation ya Kila kitu. So inabidi kujifunza kwani serikali sio presidential office tu bali MPs ndo mwanzo wa Kila kitu.Ushindi ni wa ccm, kwann usiwapongeze tu na kuongelea Tz mpya ya kijani itakavyokuwa bila kasoro za kupingwa na wapinzani?