Angalia hii fupi tu ya kawe
Kawe:
Waliojiandikisha 412,180
Waliopiga kura 233,518
Kura Halali ni 231,186
Kura zilizoharibika 1653
Matokeo:
Ubunge:
UDP - 72
UMD-51
UPDP-44
TLP-67
SAU-53
NLP-43
NCCR-279
DEMOKRASIA MAKINI -39
DP-60
CUF-461
CHAUMA-426
CCK-1422
ACT-585
AFR-374
CHADEMA-32,524
CCM-194,833
Tupige hesabu vzur sasa..
Tukijumlisha hizo idadi ya kura za hao wabunge unapata jumla 231,333. Kwenye takwimu hii figure haipo
Tukichukua kura zilizoharibika tukijumlisha kura halali si tunatakiwa tupate jumla ya kura zote zilizopigwa mbona figure inakuja tofauti?
i.e
233,186 +1,653= 234,839
Hii figure pia haipo kwenye takwimu,au mie nakosea sehem ndugu zangu embu nisaidieni basi
Bado kura za alizopata raisi kwa kawe ni zaidi ya idadi ya waliopiga kura KAWE