Ndugu yetu yupo kwenye mtego nchi moja ya hapo Ulaya, tunamtoaje?

Kwa maelezo yako na hiyo code, hiyo nchi ni Sweden.

Napata mashaka sehemu moja uliposema huyo mume wa huyo mama ana apartment ya ghorofa 12
Nina uzeofu wa nchi za Scandinavia hasa Norway na Sweden pia nimeenda sana. Sweden Hakuna sana maghorofa marefu kiasi kwamba Kuna mtu aweze kuwa na apartment ya ghorofa 12.

Sheria zao huwa ni ngumu kidogo kwenyekujenga maghorofa marefu. Sasa hiyo apartment ya ghorofa 12 hapo napata mashaka sana na ukweli wa hii story yako.

Ungetaja mji. Sweden na Norway sio US ambapo miji Ina maghorofa marefu sana
 
Hata Jimbo la Los Angeles ni nadra sana kukuta jengo lenye ghorofa zaidi ya 31 kwenda juu
 
Mkuu ushafeli,umeshindwa kuficha codes za nchi aliyopo huyo ndugu yako ulivyotaja krona tu,huna siri kabisa wewee.

Yaani wazaliwa wa cuba tumeshaju kuwa yupo Sweden huyo ndugu yko na hadi chuo nikutajie chenye hyo hostel iliyo mbali na mji?
Amefeli pakubwa
 
Ulivyosema Krona tu hata before kuweka country code I knew ni Sweden. My advise aache uoga akatae Km mtu hamtaki and wakimblackmail he can report to the police uko sio Bongo they take any sexual adulation very seriously iwe to a woman or a man. So kinachomzuia hapo ni Ubongo tu asema straight hawataki
 
Hapo wanawake wame mstudy wamejua wana weza kumcontrol na kumtumia kingono kwa jinsi alivyo..

Jamaa ni dhaifu na anaonekana hana exposure..

Watamharibia maisha tu, Wanawake wa kizungu wanataka mwanaume wakumuendesha kama gari bovu na wanajua kutarget wanaume wa hivyo...
 
Hakunaga wazungu wa namna hiyo siku hizi.

Hii ni chai chafu.
Mtu akae atunge chai kwa faida ya Nan? Unajua mtu ambae Ni mweusi ametoka Africa kwenye nchii za weupe tupu Hilo wanajua lipo...Ila Kama unakaa mwanangamala tu shida inaanzia hapo'.
 
Tutajie kwanza nchi. Sasa code hata kwa nchi kweli?
Lengo Ni kupata watu wenye uelewa na Hizo nchi...hivyo kwa wale wasio jua code za hiyo nchi Ni heri tu ' ukosoma na ushauri wa walio soma huko' au kuishi huko' may be Ndio favorable.
 
Mambo ya vya bure/nafuu, vitamgharimu!
 
Kwa herufi kubwa
STAY AWAY FROM WHITES ATAKUJA NISHUKURU KUNA WATU WALIPATA MAMAMA ULAYA YANI ATA SUPERMARKET AWAENDI KAZ NI KULA MMAMA WALIKONDA KAMA FITO.

Maybe apate vitoto kimpende mwenyewe na especially huwa wanatokaga darasan
 
Mwambie awe na ubusy na kazi zake na aache kuwafuatilia hao mademu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…