Ndugu yetu yupo kwenye mtego nchi moja ya hapo Ulaya, tunamtoaje?

Ndugu yetu yupo kwenye mtego nchi moja ya hapo Ulaya, tunamtoaje?

Kroner (currency) kama Si Norway basi Sweden Ila wanawake wa kizungu mnawapendea nn aisee? Qu.ma baridi sana
Hata wanaume wao piaa afu uji wao mlaini na umepooza, hawana maajabu.
 
Kwahiyo kumbe majibu unayo dokita chazi!! Si ungesema tu tusome kama story tuburudike.

Haya tuachane na hayo, nipe basi connection nami nije nipatepo kaexposure maana ushanichamba huko juu mweeh!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha uongo hapo ni Sweden ghorofa zikizidi sana ni 8.
Kwasababu ya kuogopa matetemeko km Turkey.
Na hamna mtu binafsi amiliki hilo ghorofa yote ni ya Serikali.
Sema alipewa chumba akae na wanachangia sebule ndio akutane na wengine.
Au aonane nao kwenye dining room.
Hela ngumu huko na ulivyosema huyo mama mzee ni anakula pensheni.
Atatoa wapi hela ya kumuhurumia huyo wakati yeye anapewa na Serikali huduma zote.
Hizo nchi utapewa ofa ya mbususu tu.
Hata bia moja hapati.
Msilete ujinga hap

Kusaidia nini huku ni kazi yake na analipwa mshahara?
Unaongea upumbavu.
Nishakwambia hakuna cha dr Charles wala upuuzi wowote story zenu za kuongopeana tu.
Hayo yote uliyoandika ni ya kusadikika.
Hakuna hivyo vitu nchi hizo.
Kalaghabaho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna mnapiga na kitu kizito mtoa mada. Mweeeeh
 
Mwambie Mimi Niko hapa +49 Luxembourg tuwasiliane
I think [emoji187] we can make something for him
 
Back
Top Bottom