Ndugu yetu yupo kwenye mtego nchi moja ya hapo Ulaya, tunamtoaje?

Ndugu yetu yupo kwenye mtego nchi moja ya hapo Ulaya, tunamtoaje?

Atibu magonjwa plus kutibu mbususu ni sehemu ya utabibu.
 
Acha uongo hapo ni Sweden ghorofa zikizidi sana ni 8.
Kwasababu ya kuogopa matetemeko km Turkey.
Na hamna mtu binafsi amiliki hilo ghorofa yote ni ya Serikali.
Sema alipewa chumba akae na wanachangia sebule ndio akutane na wengine.
Au aonane nao kwenye dining room.
Hela ngumu huko na ulivyosema huyo mama mzee ni anakula pensheni.
Atatoa wapi hela ya kumuhurumia huyo wakati yeye anapewa na Serikali huduma zote.
Hizo nchi utapewa ofa ya mbususu tu.
Hata bia moja hapati.
Na hakuna Dr huko toka third world country apewe mzawa amuhudumie mpk asome lugha na aielewe vyema ili waweze kuwasiliana na mgonjwa.
Madoctor wapo wengi huko na kazi wanafanya masaa ma3 tu kwa kupokezana.
Kiingereza ni km hakuna.
Msilete ujinga hapa
Ujinga wa kwako kwa kuamini kuwa storii lazima iwe kila kitu' Kama ilivyo andikwa! Tukio linaweza tokea London au German Ila kupiga chenga wasee wa ku trace na kuunga dot unataja Eneo unalo lifahamu Ila Ni ndani ya ulaya hiyo hiyo! Angalia kichwa Cha Habari kime base ulaya Sana Ulaya. ....code zimewekwa tu lengo lenu Ni kumjua Ni Nan Dokta Charles! Ujue tu Hakuna mtu ataleta stori ya uhalisia hapa alafu aanike kila kitu' ili kiwe wazi kiasi kuwa traced Ni Mara moja! 2mia Akili!!
 
🤣🤣🤣
Eti exposure, kufanya kazi za kitaaluma nchi za ulaya unahitaji leseni kutoka bodi ya taaluma husika.

Kwa mfano ili ufanye kazi ya udaktari nchini Sweden unahitaji usajiliwe na bodi yao ya isajili ambayo ina masharti kadhaa kama ikiwa ni pamoja na mafunzo ya mwaka mmoja kwa waliopata elimu ua udaktari nje ya EU/Nordic countries, kujifunza lugha ya ki swidi n.k

Ukiwa mwanafunzi hauwezi kutimiza masharti hayo, kwenye taaluma ulaya sio kama bongo, wako very strict.

BTW, ninesoma elimu ya juu UK, ambako masharti ni magumu zaidi, kwa kifupi ukiwa full time student hauruhusiwi kufanya kazi zaidi ya masaa 20 kwa wiki!

Ndio maana wanafunzi almost wote wanakwenda kusoma ulaya wanafanya kazi zisizohitaji usajili kama vile cashier, cleaner, bar tending N.K

Alichokiandika mleta mada ni uongo mtupu!
Wewe Huwezi kusema uwongo' bila kujua huku bongo mtu alienda huko akiwa na Elimu gani' amekaa huko zaidi ya miaka miwili! Hivyo kudhani Ni uwongo Ni sawa! Kwa uelewa wako unajua watu Wana uelewa tofauti ' ukiwa unaishi kwa budget ya Elfu 50000 kwa siku' na inakutosha' ukiambiwa Kuna mtu Anaishi kwa budget ya laki 5 kwa siku' na haimtoshi
Unaweza kataa mpaka na kupigana ngumi kuwa Haiwezekani mtu atumie budget ya laki 5 kwa siku' Ni uwongo
Ila Tambua watu wako viwango tofauti usilazimishe kila mtu awe level yako!
 
Ushauri kwa ndugu yetu ambaye yupo masomoni nchi za Ulaya.

Ndefu ila nafupisha kwa kadri ya uwezo. Bro.Wangu anasoma nchi moja hapo Ulaya!

Huyu ni brother alienda Europe 2020 kimasomo katika fani ya afya hivyo amefanikiwa kupata chuo kizuri na kuanza kuishi maisha ya hostel. Hivyo baadae akaomba kazi kwenye hospitali ya private kufanya part time tena hususani mida ya usiku.

Siku moja akaja mwanamke mmoja wa kizungu anaumwa katika kujielezea, madaktari wa kizungu wakagundua hii itakuwa ni malaria sasa bila kuchukua vipimo wakampeleka kwa dokta wa kibongo maana hizi case kwao hawazijui sana kama daktari anayetokea kanda ya Africka atakuwa na utalaamu zaidi na wenzetu wanaangalia uzoefu zaidi.

Dokta Tumwite Charles...

Kufika kwa Charles akamsikiliza, akagundua wiki kama moja nyuma alisafiri kwenda Middle East na india pia hivyo akampima malaria akakutwa nayo, akawa ametafuta dawa akakosa zipo sindano tu! Hivyo akamwandikia sindano.

Akampa nurse wa kike awe anampiga sindano ila mama akachagua Dr. Charles afanye hilo zoezi hata kama kumlipa kwa muda ziada atafanya hivyo.

Kweli zoezi likaanza na Dokta Charles akawa anampiga sindano yule mama wa kizungu tumwite Doris.

Siku siyo nyingi akapona.

Hivyo akawa anajulikana hata home kwa huyo Doris

Hata mumewe Doris akawa anamjua Dokta Charles.

Sasa katika harakati zile yule Doris alimuuliza Charles unaishi wapi ?

Charles akamtajia ila ikawa hizo hostel zipo mbali sana na hospitali anayofanyia kazi.

Hivyo Doris akamwambia kwanini usihamie maeneo ya karibu ? Chale akasema hapa ni town sana na gharama zipo juu' istoshe mm nakaa hostel hivyo nalipia kidogo kama dola 220 hivi kitu ambacho ni affordable kwangu ila hapa town ni kuanzia dola 1,000 hivi hivyo siyo rafiki kwa uchumi wangu.

Doris akamwambia atamsaidia asogee karibu ila sio kwa kumpa pesa bali ampe vielelezo vya hayo malipo hapo hostel kisha aongee na mumewe ili aweze kulipia kiasi hicho hicho kwenye moja ya apartment zao zilizopo maeneo ya town.

Charles akakubali akampa kopi ya mkataba.

Siku chache yule mama Doris akamletea Charles mkataba wa apartment mpya ndani ya town.

Malipo ni dola 200( krona 2000 hivi) tu kwa mwezi discount katoa hapo dola 20 kila mwezi.

Thamani ya apartment pale ni dola 1,700 ( krona sek 17500) mpaka dola 3,500 (krona sek.. 35,945) na wapangaji wapo wengi ndani ya gorofa 12.

Dokta Charles peke yake ndio amepewa favor hiyo.

Mkataba ni miaka 3 na nusu.

Mkataba umenza January 2023.

Baada ya kuhamia sasa Doris anakuja home peke yake kuja kumsalimia Charles siku za wikendi.

Sasa issue ipo japo ni mwenye nyumba akija wapangaji wengine hawamjui wala hata hawana time naye akija huyooo mpaka kwa Dokta Charles.

Watapiga stori wee, wataangalia movie then Doris anaondoka kama kuna cha ziada hajanieleza.

Tatizo limekuja kuna mke wa baharia mmoja wa meli/pilot tuseme ameonesha dalili zote za kumtaka Dokta Charles kwani anaweza kumblock kwenye parking bila sababu za msingi inabidi apande lift hadi gorofa ya 8 kumgongea akitoka sasa alivyo vaa sasa lazima network isimame vilivyo.

Charles anapitia mengi...Tu
Hajui awe rickboy au nn!

Akisema ni mambo ya bongo kimasihara anaweza tekwa atupwe hata baharini , pia shaba inaweza muhusu na yupo nchi za watu.

Gorofa ya tano kuna mke wa afisa wa polisi naye amechukua namba yake huyo mama nae ni askari

Dada anatuma jumbe za mahaba ila dokta anaogopa kujibu kwaajili ya ushahidi anaogopa mumewe anaweza kuona na ana chuma kikali huwa kina ningi'nia kiunoni muda wote akimwona, Hivyo bro ni shida!! Tu hana raha sasa.

Yeye bro anakaa kama floor/ 7 hivi.

Any way ..... Please toa ushauri wa afya hapa ni ufikishe kwa niaba kwa brother Dokta Charles afanye nini?

Mpira uko kwenu wana jukwaaa.

Okay country code ya Dokta Charles hii hapa...+46

Ushauri wenu ni muhimu na kama unatambua hiyo code na umekaa huko elezea maeneo yenye nyumba za bei nafuu ' inaweza kumsaidia pia!!
Hizi ni hekaya..ila kwanini asiende polisi
 
No my brother wewe ndo huna unalolijua ndo maana umekurupuka huko kuja kusema ni uongo[emoji23][emoji23] tupunguze ujuaji…U much know kwenye kila kitu mwisho siku utaonekana mpumbavu kwenye kundi la wajinga
🙌 Aisee Kuna watu wanajidai much know Sana yaani ! Yaani wanatamani utaje kila kitu' mpaka nyumba ili wafuatilie!
Hamna kitu' Hawa nadhan Ni Wale walio ishi ulaya ya zamani wakati wanasoma labda'
 
Hizi ni hekaya..ila kwanini asiende polisi
Kama ukitulia ukasoma hii stori vizuri ukaona ' na majibu ya comment unaweza gundua huenda hawamtaki aishi hapo Ila wanamtafutia line tu!
Pia mke wa afisa polisi unapeleka polisi wewe mweusi Nan anakujua?
 
Kwahiyo hii sio hekaya?
Someni comments zangu' someni stori nyie mnathani labda Dokta Charles anapendwa kweli na wanawake wawili double sehemu moja?
Stori imefupishwa Ila ujue jamaa huenda hawamtaki Hapo' Huyo black
Kwann yeye hajibu Hizo jumbe? Hataki ushaidi labda wanataka kumtimua hapo
Akili za wazungu unazijua we?
Mzungu anafunga ndoa na ww leo kwa furaha na bashasha Ila lengo lake after miaka Kama 5 hivi mtaachana na akukombe kila kitu'!
Nenda kasome stori ya mcheza mpira
Emmanuel eboue Nafikiri ...alivyo tapiliwa pesa zake na Mali za jasho lake kwenye mpira wa miguu'
Ndio utajua wazungu sio wenzetu!
Ananyanyua lips anakuonesha meno wewe
Unatafsiri anakuchekea unajipendekeza saa akija kukujeuka utashangaa'
Angalia mikataba wanao ingia wakija Afrika.
Wanapiga picha meno juu, mwafirika naye meno juu' Ila njoo kwenye vipengele walivyo suka ndani ya mikataba hiyo utalia!
 
Kwahiyo kumbe majibu unayo dokita chazi!! Si ungesema tu tusome kama story tuburudike.

Haya tuachane na hayo, nipe basi connection nami nije nipatepo kaexposure maana ushanichamba huko juu mweeh!!
 
U
Acha uongo hapo ni Sweden ghorofa zikizidi sana ni 8.
Kwasababu ya kuogopa matetemeko km Turkey.
Na hamna mtu binafsi amiliki hilo ghorofa yote ni ya Serikali.
Sema alipewa chumba akae na wanachangia sebule ndio akutane na wengine.
Au aonane nao kwenye dining room.
Hela ngumu huko na ulivyosema huyo mama mzee ni anakula pensheni.
Atatoa wapi hela ya kumuhurumia huyo wakati yeye anapewa na Serikali huduma zote.
Hizo nchi utapewa ofa ya mbususu tu.
Hata bia moja hapati.
Na hakuna Dr huko toka third world country apewe mzawa amuhudumie mpk asome lugha na aielewe vyema ili waweze kuwasiliana na mgonjwa.
Madoctor wapo wengi huko na kazi wanafanya masaa ma3 tu kwa kupokezana.
Kiingereza ni km hakuna.
Msilete ujinga hapa
Ujuaji mwingi Ni bure tu!
Nyinyi wapenda down mnathani Haiwezekani kuletewa kirahisi hivyo?
Je Kama wanamtafutia sababu ya kumwondoa hapo! Ww unajuaje!
Mweusi pekee kwenye hiyo Nyumba!
Doris anakuja huenda anakuja kumpa ulinzi kiaina ili hao wapangaji wasije mfanyia kitu' mbaya wakiona Hana ndugu mzungu hapo!!
Ndio maana stori Inasema ulaya! Pia Inasema mtego'
Hakuna mahali Dokta Charles kafanya Jambo baya!
Kuja kwa Doris Ni usalama wake kwenye Hilo Eneo.
Mkiwaza kwa kichwa Cha chini Huwezi amini Ila ukiwa kwa kichwa Cha juu . Akili utagundua Dokta Charles yupo mtegoni
Hapo.
Pia mume wa Doris Anamjua Dokta Charles Hana shida naye na stori imeeleza.
Pia stori haisemi Doris alikuja hospital akiwa Katika Hali Gani! je Kama alikuwa kazidiwa Haiwezekani mtu kukusaidia Baada ya wewe kumwokoa kwenye kitu' hatari kwake?
Ujuaji mwingne nyie watu Ni hopeless kabisa!!
 
Kwahiyo kumbe majibu unayo bwana Roy!! Si ungesema tu tusome kama story tuburudike.

Haya tuachane na hayo, nipe basi connection nami nije nipatepo kaexposure maana ushanichamba huko juu mweeh!!
Connection Kama upo ulaya nimwombe atoe namba ya mke Askari nikutumie ili ujiconnect mwenyewe ! 😀😀
Huku ukijua jamaa yake Ana mashine zile automatic kabisa!!
 
Acha uongo hapo ni Sweden ghorofa zikizidi sana ni 8.
Kwasababu ya kuogopa matetemeko km Turkey.
Na hamna mtu binafsi amiliki hilo ghorofa yote ni ya Serikali.
Sema alipewa chumba akae na wanachangia sebule ndio akutane na wengine.
Au aonane nao kwenye dining room.
Hela ngumu huko na ulivyosema huyo mama mzee ni anakula pensheni.
Atatoa wapi hela ya kumuhurumia huyo wakati yeye anapewa na Serikali huduma zote.
Hizo nchi utapewa ofa ya mbususu tu.
Hata bia moja hapati.
Msilete ujinga hap
U

Ujuaji mwingi Ni bure tu!
Nyinyi wapenda down mnathani Haiwezekani kuletewa kirahisi hivyo?
Je Kama wanamtafutia sababu ya kumwondoa hapo! Ww unajuaje!
Mweusi pekee kwenye hiyo Nyumba!
Doris anakuja huenda anakuja kumpa ulinzi kiaina ili hao wapangaji wasije mfanyia kitu' mbaya wakiona Hana ndugu mzungu hapo!!
Ndio maana stori Inasema ulaya! Pia Inasema mtego'
Hakuna mahali Dokta Charles kafanya Jambo baya!
Kuja kwa Doris Ni usalama wake kwenye Hilo Eneo.
Mkiwaza kwa kichwa Cha chini Huwezi amini Ila ukiwa kwa kichwa Cha juu . Akili utagundua Dokta Charles yupo mtegoni
Hapo.
Pia mume wa Doris Anamjua Dokta Charles Hana shida naye na stori imeeleza.
Pia stori haisemi Doris alikuja hospital akiwa Katika Hali Gari je Kama alikuwa kazidiwa Haiwezekani mtu kukusaidia Baada ya wewe kumwokoa kwenye kitu' hatari kwake?
Ujuaji mwingne nyie watu Ni hopeless kabisa!!
Kusaidia nini huku ni kazi yake na analipwa mshahara?
Unaongea upumbavu.
Nishakwambia hakuna cha dr Charles wala upuuzi wowote story zenu za kuongopeana tu.
Hayo yote uliyoandika ni ya kusadikika.
Hakuna hivyo vitu nchi hizo.
Kalaghabaho
 
Acha uongo hapo ni Sweden ghorofa zikizidi sana ni 8.
Kwasababu ya kuogopa matetemeko km Turkey.
Na hamna mtu binafsi amiliki hilo ghorofa yote ni ya Serikali.
Sema alipewa chumba akae na wanachangia sebule ndio akutane na wengine.
Au aonane nao kwenye dining room.
Hela ngumu huko na ulivyosema huyo mama mzee ni anakula pensheni.
Atatoa wapi hela ya kumuhurumia huyo wakati yeye anapewa na Serikali huduma zote.
Hizo nchi utapewa ofa ya mbususu tu.
Hata bia moja hapati.
Msilete ujinga hap

Kusaidia nini huku ni kazi yake na analipwa mshahara?
Unaongea upumbavu.
Nishakwambia hakuna cha dr Charles wala upuuzi wowote story zenu za kuongopeana tu.
Hayo yote uliyoandika ni ya kusadikika.
Hakuna hivyo vitu nchi hizo.
Kalaghabaho
Hivi wewe mtu unatumia ushaidi gani kukataa?
Kisa gorofa 12 kwa hiyo kila kitu' kitajwe wazi wazi!
Ungekuwa msomi ungechambua kwa Hoja kwann unakataa!
Ila hutoi Hoja unakataa tu'
Kisa Ni nini? Kisa Ni krona na +46
Ww ulitaka itajwe nchi yenyewe kabisa? Hilo haliwezekani Ni heri kutokueleza stori Hapa kuliko kuelezea uhalisia wa kila kitu'..Hilo halipo !!
 
Acha uongo hapo ni Sweden ghorofa zikizidi sana ni 8.
Kwasababu ya kuogopa matetemeko km Turkey.
Na hamna mtu binafsi amiliki hilo ghorofa yote ni ya Serikali.
Sema alipewa chumba akae na wanachangia sebule ndio akutane na wengine.
Au aonane nao kwenye dining room.
Hela ngumu huko na ulivyosema huyo mama mzee ni anakula pensheni.
Atatoa wapi hela ya kumuhurumia huyo wakati yeye anapewa na Serikali huduma zote.
Hizo nchi utapewa ofa ya mbususu tu.
Hata bia moja hapati.
Msilete ujinga hap

Kusaidia nini huku ni kazi yake na analipwa mshahara?
Unaongea upumbavu.
Nishakwambia hakuna cha dr Charles wala upuuzi wowote story zenu za kuongopeana tu.
Hayo yote uliyoandika ni ya kusadikika.
Hakuna hivyo vitu nchi hizo.
Kalaghabaho
Hilo jina lako na picha vinakuakisi vizuri Akili yako!
Babu kisha akawa kijana ...wapenda chini Sana bila shaka!!
 
No my brother wewe ndo huna unalolijua ndo maana umekurupuka huko kuja kusema ni uongo[emoji23][emoji23] tupunguze ujuaji…U much know kwenye kila kitu mwisho siku utaonekana mpumbavu kwenye kundi la wajinga
🤣🤣🤣
Haya
 
Yaan wazungu gani wanatoa msaada rahisi hivyoo?? Mbna inashangazaa,

Nweii muambie huyo Dr asome amalize arudi huku Bongo, huko Swedish atatelezeshwa chooni buree afu ageuke mtoto wa watu.

Ni ushauri tyuuh.
 
Back
Top Bottom