Dokta Charles (hata kama ni wewe) ni mpumbavu mwili mzima. Kwa sababu zifuatazo;
1. Hao wote ni wake za watu. Je haoni hatari inayomkabili? Kuna haja hata ya kumshauri kuhusu mke wa mtu?
2. Ni mwongo. Yeye ndo anawataka hao wanawake kwasababu kwanza ni ngumu mama wa kizungu ghafla tu akatae kuchomwa sindano na nesi atake kuchomwa na dokta. Pia mke wa askari alipataje namba za Chalz?
USHAURI WANGU: Aaache upumbavu.
Ushauri wako Ni mkali Ila uzuri umejibu kwa Hoja upo sio mbali na usmart Ila sio smart!
1.Nilisema nimefupisha story isiwe ndefu!
Hakukua na Haja kueleza kila kitu' maana siyo vyema pia.
Kuhusu sindano Nurse wa kike hakuwa zamu ikabidi aje achomwe kesho yake' Doris akakataa kusubiri ..maana madokta wa kizungu walimwamini Charles kwenye hiyo case hata mgonjwa naye Alimwamini kwa haraka zaidi.
Kuhusu'
namba! Charles alivyo fika pale hakuwa na Eneo lake la parking maana kulikuwa na Gari zimepaki nyingne haziko sawa' hivyo akawa Ana park nje ya gate hapo japo Ni Risk '
sasa siku ameshuka kupark nje ya gate akakutana na yule mke wa asikari ..akamuuliza unakaa huku ndani? Charles akamjibu ndio! Akamwambie kwa kuwa ww' ndio mweusi pekee unakaa huku ndani inabidi tujue details zako' vizuri kwa usalama wako na wetu pia!
Charles akampa kila kitu' mpaka vitambulisho maana Dada Huyo alikuwa ndani ya uniform!
Alivyo jua Ni dokta akasema sorry cjajua Mengi kuhusu ww Ila kwa usalama nimejua na pia nitakupa sehemu ya kupark Gari ambapo sio sehemu yangu Bali niliomba hapo kupark Gari yangu iliyo mbovu' Ila Sasa nitaiuza hivi karbuni maana nimepata mteja..Nipe namba yako nitakupigia nikisha uza hiyo Gari ili upate parking usi park Gari nje ya gate!
......Baada ya hapo alipata parking ya kupark Gari yake Ila kumbuka Hilo Eneo la parking Ni la mke wa baharia wa meli ' alimpa mke wa afisa polisi ..mke wa afisa katoa bila ruhusa'...
...kisa Ni kirefu ' nikielezea yote...Haina maana itoshe kusema unashuri Nini hapo!
Ashauriwe Nini. Dokta Charles?
Jukwaa la waswahili hao wazungu hawapo umu' Toa mawazo yako positive,.