Nina Akili Ndogo Sana
JF-Expert Member
- Jun 2, 2026
- 865
- 1,125
Unaakili ndogo sana lkn unataka ujadili vitu vyenye akili nyingiNB: Nina Akili Ndogo Sana
Mimi sio mfuasi wa Chama Chichote kile cha kisisasa (CHADEMA, CCM, ACT, CUF, NCCT) hapa Tanzania ila siungi mkono hata kidogo kitendo cha mtu kama Hilda Newton kuchapisha videos za kiongozi number 3 wa nchi ya Africa akiwa faragha.
Hawa viongozi nao pia ni wanadamu kama mimi na wewe. Wana private life nje ya uongozi na Siasa.
Tusiwadhalilisha viongozi wa Chama B au Chama A. Tupambane kwa hoja na sio maisha binafsi (personal attacks) dhihaka au kudhalilishana.
Mbona ndugu Heche, Lema God bless au Mnyika hawakuweka video ile katika accounts zao za social media??
Vijana kama Hilda Newton watawadhalilisha mbele ya International Community. Hata kama angekuwa kijana wa CCM anadhalilisha au kutukana viongozi wa CHADEMA na upinzani kwa ujumla (katika Social Media Platforms) ningemchana tu.
NB: Zangatia Sana jina langu.
Asante Sana boss wanguUnaakili ndogo sana lkn unataka ujadili vitu vyenye akili nyingi
Dawa yake huyo Hilda Newton inachemka.NB: Nina Akili Ndogo Sana
Mimi sio mfuasi wa Chama Chichote kile cha kisisasa (CHADEMA, CCM, ACT, CUF, NCCT) hapa Tanzania ila siungi mkono hata kidogo kitendo cha mtu kama Hilda Newton kuchapisha videos za kiongozi number 3 wa nchi ya Africa akiwa faragha.
Hawa viongozi nao pia ni wanadamu kama mimi na wewe. Wana private life nje ya uongozi na Siasa.
Tusiwadhalilisha viongozi wa Chama B au Chama A. Tupambane kwa hoja na sio maisha binafsi (personal attacks) dhihaka au kudhalilishana.
Mbona ndugu Heche, Lema God bless au Mnyika hawakuweka video ile katika accounts zao za social media??
Vijana kama Hilda Newton watawadhalilisha mbele ya International Community. Hata kama angekuwa kijana wa CCM anadhalilisha au kutukana viongozi wa CHADEMA na upinzani kwa ujumla (katika Social Media Platforms) ningemchana tu.
NB: Zangatia Sana jina langu.
Hakika litakuwa ni jambo la maana sana mkuu.Dawa yake huyo Hilda Newton inachemka.
Unapigana na adui, unalenga military base. Yeye analenga kote kote. shule, hospitali miundombinu ….NB: Nina Akili Ndogo Sana
Mimi sio mfuasi wa Chama Chichote kile cha kisisasa (CHADEMA, CCM, ACT, CUF, NCCT) hapa Tanzania ila siungi mkono hata kidogo kitendo cha mtu kama Hilda Newton kuchapisha videos za kiongozi number 3 wa nchi ya Africa akiwa faragha.
Hawa viongozi nao pia ni wanadamu kama mimi na wewe. Wana private life nje ya uongozi na Siasa.
Tusiwadhalilisha viongozi wa Chama B au Chama A. Tupambane kwa hoja na sio maisha binafsi (personal attacks) dhihaka au kudhalilishana.
Mbona ndugu Heche, Lema God bless au Mnyika hawakuweka video ile katika accounts zao za social media??
Vijana kama Hilda Newton watawadhalilisha mbele ya International Community. Hata kama angekuwa kijana wa CCM anadhalilisha au kutukana viongozi wa CHADEMA na upinzani kwa ujumla (katika Social Media Platforms) ningemchana tu.
NB: Zangatia Sana jina langu.
Mbona Lema, Heche na Mnyika hawakuweka video hiyo katika accounts zao za social media??Unapigana na adui, unalenga military base. Yeye analenga kote kote. shule, hospitali miundombinu ….
Utashinda vita kweli ?.
Kati ya hiyo clip na mauaji . Jambo lipi linatia aibu ?
Unataka CHADEMA acheze fair game na CCM ur not serious mkuu ?
Kila mtu anashambulia anavoona inafaa…Mbona Lema, Heche na Mnyika hawakuweka video hiyo katika accounts zao za social media??
Sawa boss wangu. Hongereni sana.Kila mtu anashambulia anavoona inafaa…
Mwambieni kiongoI wenu aache uzinziNB: Nina Akili Ndogo Sana
Mimi sio mfuasi wa Chama Chichote kile cha kisisasa (CHADEMA, CCM, ACT, CUF, NCCT) hapa Tanzania ila siungi mkono hata kidogo kitendo cha mtu kama Hilda Newton kuchapisha videos za kiongozi number 3 wa nchi ya Africa akiwa faragha.
Hawa viongozi nao pia ni wanadamu kama mimi na wewe. Wana private life nje ya uongozi na Siasa.
Tusiwadhalilisha viongozi wa Chama B au Chama A. Tupambane kwa hoja na sio maisha binafsi (personal attacks) dhihaka au kudhalilishana.
Mbona ndugu Heche, Lema God bless au Mnyika hawakuweka video ile katika accounts zao za social media??
Vijana kama Hilda Newton watawadhalilisha mbele ya International Community. Hata kama angekuwa kijana wa CCM anadhalilisha au kutukana viongozi wa CHADEMA na upinzani kwa ujumla (katika Social Media Platforms) ningemchana tu.
NB: Zangatia Sana jina langu.
Mbona hukuwambia wenzako ccm kuwa wanapoteza integrity kwa kufanya mauaji ya halaiki ya maelfu ya Watanganyika?Ndugu zangu CHADEMA, kemeeni vijana kama Hilda Newton , Mtapoteza "integrity" katika sura ya kimataifa
Waliochoma moto miundombinu ya umma??Mbona hukuwambia wenzako ccm kuwa wanapoteza integrity kwa kufanya mauaji ya halaiki ya maelfu ya Watanganyika?
Wacheni uzushi, unafiki, uongo..Waliochoma moto miundombinu ya umma??
Collateral damages zilitokea. Tunaomba sana radhi kwa hilo boss wangu.Wacheni uzushi, unafiki, uongo..
Shehe Sharif Majini alichoma miundo mbinu gani?
Wale vijana wadogo waliokuwa wanaangalia mpira ndani ya nyumba walichoma nini?
Huyu bibi hapa chini alikuwa sebuleni kwake, mkampiga risasi akazimia mkampeleka mortuary!! Alichoma kitu gani??
View: https://youtu.be/j9yI9PAGIcA?is=-aAh_xwQOA-XRd6Q
Ulitaka waweke picha za mzinzi za Nini?Mbona Lema, Heche na Mnyika hawakuweka video hiyo katika accounts zao za social media??