Ndugu zangu CHADEMA, kemeeni vijana kama Hilda Newton , Mtapoteza "integrity" katika sura ya kimataifa

Ndugu zangu CHADEMA, kemeeni vijana kama Hilda Newton , Mtapoteza "integrity" katika sura ya kimataifa

NB: Nina Akili Ndogo Sana

Mimi sio mfuasi wa Chama Chichote kile cha kisisasa (CHADEMA, CCM, ACT, CUF, NCCT) hapa Tanzania ila siungi mkono hata kidogo kitendo cha mtu kama Hilda Newton kuchapisha videos za kiongozi number 3 wa nchi ya Africa akiwa faragha.

Hawa viongozi nao pia ni wanadamu kama mimi na wewe. Wana private life nje ya uongozi na Siasa.

Tusiwadhalilisha viongozi wa Chama B au Chama A. Tupambane kwa hoja na sio maisha binafsi (personal attacks) dhihaka au kudhalilishana.

Mbona ndugu Heche, Lema God bless au Mnyika hawakuweka video ile katika accounts zao za social media??

Vijana kama Hilda Newton watawadhalilisha mbele ya International Community. Hata kama angekuwa kijana wa CCM anadhalilisha au kutukana viongozi wa CHADEMA na upinzani kwa ujumla (katika Social Media Platforms) ningemchana tu.

NB: Zangatia Sana jina langu.
Mwambie bosi wako aache uzinzi sio sifa njema
 
Unapigana na adui, unalenga military base. Yeye analenga kote kote. shule, hospitali miundombinu ….

Utashinda vita kweli ?.

Kati ya hiyo clip na mauaji . Jambo lipi linatia aibu ?

Unataka CHADEMA acheze fair game na CCM ur not serious mkuu ?
Ni clip gani hiyo? Mambo ni mengi muda ni mchache. Hiyo clip inaonyesha nini? Binti Msumi ama?
 
CHADEMA ni.genge la wahuni na wahalifu, msajili wa vyama alipaswa kulifuta genge hilo haraka.
 
Back
Top Bottom