Nina Akili Ndogo Sana
JF-Expert Member
- Jun 2, 2026
- 865
- 1,125
- Thread starter
- #61
Hayasema kuwa ni wote.Kasema Mchengerwa
Hayasema kuwa ni wote.Kasema Mchengerwa
SITAKIMtoto atachukua akili kubwa za mama yake ambaye ndio wewe.
KUKOSOA NA KUDHARIRISHA NI VITU VIWILI TOFAUTI.Sio mkosoaji tena
Kazi uchoyo tu. Hautaki na mimi niitwe baba.SITAKI
Hawa wanaomsema sema rais tukiwapoteza polisi msihangaike kuwatafuta, vipi hii kauli iko poa ndugu mleta mada? Viongozi wake walimchukulia hatua gani?NB: Nina Akili Ndogo Sana
Mimi sio mfuasi wa Chama Chichote kile cha kisisasa (CHADEMA, CCM, ACT, CUF, NCCT) hapa Tanzania ila siungi mkono hata kidogo kitendo cha mtu kama Hilda Newton kuchapisha videos za kiongozi number 3 wa nchi ya Africa akiwa faragha.
Hawa viongozi nao pia ni wanadamu kama mimi na wewe. Wana private life nje ya uongozi na Siasa.
Tusiwadhalilisha viongozi wa Chama B au Chama A. Tupambane kwa hoja na sio maisha binafsi (personal attacks) dhihaka au kudhalilishana.
Mbona ndugu Heche, Lema God bless au Mnyika hawakuweka video ile katika accounts zao za social media??
Vijana kama Hilda Newton watawadhalilisha mbele ya International Community. Hata kama angekuwa kijana wa CCM anadhalilisha au kutukana viongozi wa CHADEMA na upinzani kwa ujumla (katika Social Media Platforms) ningemchana pia.
NB: Zangatia Sana jina langu.
Adhabu yao ilikuwa ni kifo?Waliochoma moto miundombinu ya umma??
Hata sisi wanatudhalilisha.KUKOSOA NA KUDHARIRISHA NI VITU VIWILI TOFAUTI.
Upo sahihi mkuuSiku zote ukitaka uheshimiwe . Lazima ujiheshimu mkuu
Wengine hatutumii social network, tunapitwa na mengi sometime muwe mnaweka na hizo reference kabisa sio maneno tupuNB: Nina Akili Ndogo Sana
Mimi sio mfuasi wa Chama Chichote kile cha kisisasa (CHADEMA, CCM, ACT, CUF, NCCT) hapa Tanzania ila siungi mkono hata kidogo kitendo cha mtu kama Hilda Newton kuchapisha videos za kiongozi number 3 wa nchi ya Africa akiwa faragha.
Hawa viongozi nao pia ni wanadamu kama mimi na wewe. Wana private life nje ya uongozi na Siasa.
Tusiwadhalilisha viongozi wa Chama B au Chama A. Tupambane kwa hoja na sio maisha binafsi (personal attacks) dhihaka au kudhalilishana.
Mbona ndugu Heche, Lema God bless au Mnyika hawakuweka video ile katika accounts zao za social media??
Vijana kama Hilda Newton watawadhalilisha mbele ya International Community. Hata kama angekuwa kijana wa CCM anadhalilisha au kutukana viongozi wa CHADEMA na upinzani kwa ujumla (katika Social Media Platforms) ningemchana pia.
NB: Zangatia Sana jina langu.
Mtawauwa wote lakini hamuwezi kuuwa ukweli. Ukweli kwamba Samia hajachaguliwa na watanzania. Kwamba mliwauwa watu hapo October 29 na kuwazika kwenye makaburi ya halaikiiDawa yake huyo Hilda Newton inachemka.
Siasa za kudhalilishana mbele ya kadamnasi hazina nafasi.Mtawauwa wote lakini hamuwezi kuuwa ukweli. Ukweli kwamba Samia hajachaguliwa na watanzania. Kwamba mliwauwa watu hapo October 29 na kuwazika kwenye makaburi ya halaikii