NB: Nina Akili Ndogo Sana
Mimi sio mfuasi wa Chama Chichote kile cha kisisasa (CHADEMA, CCM, ACT, CUF, NCCT) hapa Tanzania ila siungi mkono hata kidogo kitendo cha mtu kama Hilda Newton kuchapisha videos za kiongozi number 3 wa nchi ya Africa akiwa faragha.
Hawa viongozi nao pia ni wanadamu kama mimi na wewe. Wana private life nje ya uongozi na Siasa.
Tusiwadhalilisha viongozi wa Chama B au Chama A. Tupambane kwa hoja na sio maisha binafsi (personal attacks) dhihaka au kudhalilishana.
Mbona ndugu Heche, Lema God bless au Mnyika hawakuweka video ile katika accounts zao za social media??
Vijana kama Hilda Newton watawadhalilisha mbele ya International Community. Hata kama angekuwa kijana wa CCM anadhalilisha au kutukana viongozi wa CHADEMA na upinzani kwa ujumla (katika Social Media Platforms) ningemchana pia.
NB: Zangatia Sana jina langu.