Ndugu zangu CHADEMA, kemeeni vijana kama Hilda Newton , Mtapoteza "integrity" katika sura ya kimataifa

Mwambie bosi wako aache uzinzi sio sifa njema
 
Collateral damages zilitokea. Tunaomba sana radhi kwa hilo boss wangu.
Acheni kuua watu kisa madaraka. Damu ya mtu ni nzito. Mnaona wengine ni takataka kisa haiungi mkono CCM . Siku na nyie Kibao kikiwageuka msipige makelele.
 
Ni clip gani hiyo? Mambo ni mengi muda ni mchache. Hiyo clip inaonyesha nini? Binti Msumi ama?
 
CHADEMA ni.genge la wahuni na wahalifu, msajili wa vyama alipaswa kulifuta genge hilo haraka.
 
Mzee Nchimbi si alikemea na yeye huyo huyo alikuja kuomba radhi baadae.
Huyo Nchimbi Hana lolote maana mumemfukuza. Halafu radhi aliomba ya kinafiki. Amekuja kuomba radhi baada ya mambo ya October 29. Baada ya miaka Zaidi ya 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…