Mchumia tumbo tu. Chama kilichombeba akanza kukitukana na kukikebehi. Yani kupewa ubunge wa kufoji akaona CHADEMA ni takataka. Kuna watu Wana dhambi sana.But she's a very descent woman. A well mannered female politician.
Hata hivyo ile video.inajulikana ni ya kutengeneza. We PM utapate video yake kirahisi hivyo?NB: Nina Akili Ndogo Sana
Mimi sio mfuasi wa Chama Chichote kile cha kisisasa (CHADEMA, CCM, ACT, CUF, NCCT) hapa Tanzania ila siungi mkono hata kidogo kitendo cha mtu kama Hilda Newton kuchapisha videos za kiongozi number 3 wa nchi ya Africa akiwa faragha.
Hawa viongozi nao pia ni wanadamu kama mimi na wewe. Wana private life nje ya uongozi na Siasa.
Tusiwadhalilisha viongozi wa Chama B au Chama A. Tupambane kwa hoja na sio maisha binafsi (personal attacks) dhihaka au kudhalilishana.
Mbona ndugu Heche, Lema God bless au Mnyika hawakuweka video ile katika accounts zao za social media??
Vijana kama Hilda Newton watawadhalilisha mbele ya International Community. Hata kama angekuwa kijana wa CCM anadhalilisha au kutukana viongozi wa CHADEMA na upinzani kwa ujumla (katika Social Media Platforms) ningemchana pia.
NB: Zangatia Sana jina langu.
Ni ya kweli sio kutengeneza. Ukienda AI inakubali ni real.Hata hivyo ile video.inajulikana ni ya kutengeneza. We PM utapate video yake kirahisi hivyo?
It is a matter of timeDawa yake huyo Hilda Newton inachemka.
Zile sio Siasa. Kule ni kudhalilishana. Yule kiongozi ana wakwe zake na watoto. Unafikiri walijisikiaje?? Mbona viongozi wao hawaku-post video ile??It is a matter of time
sio sawaKila mtu anashambulia anavoona inafaa
Siasa za kijinga sana zile mkuu. Kudhalilishana mbele ya watoto na wakwe.sio sawa
hiyo attitude inahalalisha matendo ya kishetwani ndio maana wanaokosolewa wanaamua kutumia njia za kihuni za kudhibiti wakosoaji.
Sio UVCCM woteUvccm ni wala rushwa. Na mme chagua upande (RUSHWA)
Kazi ni kipimo cha utu
Kwanini afanye uzinzi. Waziri Mkuu inakuwaje mzinzi vile?Zile sio Siasa. Kule ni kudhalilishana. Yule kiongozi ana wakwe zake na watoto. Unafikiri walijisikiaje?? Mbona viongozi wao hawaku-post video ile??
Kasema MchengerwaSio UVCCM wote
Kwahiyo mimi ndio nitakubali wenye akili ndogo sio?Tunamtafuta. Nina hamu sana ya kuwa na mtoto. Wanawake hawanaitaki kwa sababu Nina Akili Ndogo Sana
kwani huyo kiongozi alikuwa na mke wake,mwambieni aache uzinzi hajui maadili ya uongoziNB: Nina Akili Ndogo Sana
Mimi sio mfuasi wa Chama Chichote kile cha kisisasa (CHADEMA, CCM, ACT, CUF, NCCT) hapa Tanzania ila siungi mkono hata kidogo kitendo cha mtu kama Hilda Newton kuchapisha videos za kiongozi number 3 wa nchi ya Africa akiwa faragha.
Hawa viongozi nao pia ni wanadamu kama mimi na wewe. Wana private life nje ya uongozi na Siasa.
Tusiwadhalilisha viongozi wa Chama B au Chama A. Tupambane kwa hoja na sio maisha binafsi (personal attacks) dhihaka au kudhalilishana.
Mbona ndugu Heche, Lema God bless au Mnyika hawakuweka video ile katika accounts zao za social media??
Vijana kama Hilda Newton watawadhalilisha mbele ya International Community. Hata kama angekuwa kijana wa CCM anadhalilisha au kutukana viongozi wa CHADEMA na upinzani kwa ujumla (katika Social Media Platforms) ningemchana pia.
NB: Zangatia Sana jina langu.
Hilda Newton kama mbu anayekimbilia ndani ya neti.It is a matter of time
Siku zao zinahesabika. Lazima kuwe na muda wa kuijenga nchi. Hatuwezi kufanya harakati kwa miaka 5 mfululizoZile sio Siasa. Kule ni kudhalilishana. Yule kiongozi ana wakwe zake na watoto. Unafikiri walijisikiaje?? Mbona viongozi wao hawaku-post video ile??
Kwaiyo sasa ivi mkosolewaji amekua victim ?sio sawa
hiyo attitude inahalalisha matendo ya kishetwani ndio maana wanaokosolewa wanaamua kutumia njia za kihuni za kudhibiti wakosoaji.
Ile video ya namba tatu alipost hilda newtown…Ni clip gani hiyo? Mambo ni mengi muda ni mchache. Hiyo clip inaonyesha nini? Binti Msumi ama?
Alaàn̈we yeyote awaae anayekula rushwa,fisadi na wasioʻ thamini utu na uhaì wa binadamu mwingine!Uvccm ni wala rushwa. Na mme chagua upande (RUSHWA)
Kazi ni kipimo cha utu
Mtoto atachukua akili kubwa za mama yake ambaye ndio wewe.Kwahiyo mimi ndio nitakubali wenye akili ndogo sio?