Ndugu zangu CHADEMA, kemeeni vijana kama Hilda Newton , Mtapoteza "integrity" katika sura ya kimataifa

Hawa wanaomsema sema rais tukiwapoteza polisi msihangaike kuwatafuta, vipi hii kauli iko poa ndugu mleta mada? Viongozi wake walimchukulia hatua gani?
 
KUKOSOA NA KUDHARIRISHA NI VITU VIWILI TOFAUTI.
Hata sisi wanatudhalilisha.

Wale mawakili waliokamatwa mpakani wakija kufatilia kesi ya Tal ulisikia madai yao juu ya walichofanyiwa ?

Anayofanyiwa Lisu sio udhalilishaji ?

Siku zote ukitaka uheshimiwe . Lazima ujiheshimu mkuu.
 
Wengine hatutumii social network, tunapitwa na mengi sometime muwe mnaweka na hizo reference kabisa sio maneno tupu
 
Mtawauwa wote lakini hamuwezi kuuwa ukweli. Ukweli kwamba Samia hajachaguliwa na watanzania. Kwamba mliwauwa watu hapo October 29 na kuwazika kwenye makaburi ya halaikii
Siasa za kudhalilishana mbele ya kadamnasi hazina nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…