Ndugu zangu hii siyo love bite kweli?

Huyu mwanamke ananifanya mimi mtoto mdogo, eti ananidanganya katembelewa na mdudu.😑😑


View attachment 2642084
Hajakudanganya kuhusiana na kutembelewa na mdudu ila niamini mimi huyo mdudu hakugusa shingo kabisa. Alimuingilia kupitia chini ya pango.

Hapo huo ni mfyonzo kipindi dudu linamwingia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…