Ndugu zangu hii siyo love bite kweli?

Ndugu zangu hii siyo love bite kweli?

Mwanangu demu wako kapiga tukio dadadeki. Unajua kipindi mtu kasugua kasugua kasugua pale anaposugua moto umeshika haswaa halafu ndio bao linakuja akili inakuwaga kama imepotea hivi hivyo anafanya chochote nje ya akili yake ndipo hapo unakuta mtu anakojoa huku anang'ata.

Ni hatua tamu sana pale mtu unapofika kileleni mpk unafikia kung'ata kabisa unakuwa umepoteza mawasilano kabisa na ubongo.

Pole sana kwa kuchapiwa ndio uanaume huo
 
Back
Top Bottom