Ndugu zangu hii siyo love bite kweli?

Bila shaka atakuwa nyuki, kuna dawa naifahamu inaitwa Botulinum toxin injection mchome hapo hapo kwenye shingo atakuwa sawa kama akiamka...
 
Pole mkuu ,yanaumaga sana kwa mara ya kwanza au ukigundua mapenzi yameshift.
 
Ndio si mdudu wa jicho moja kwani unadhani nini?? Kashakandwa huyoo
 
Anakuletea Mawawaa!!!wewe elewa ni mdudu amemtembelea,,au nipasie namba zake shem wangu nimuhoji vizuri kama hutojali lakini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…