Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Mwaka unaishia na mwingine unaanza. Nawakumbusha tu kuwa tuna ahadi ya milele Allah ametuahidi. Kwahiyo Tujitahidi kufanya mema twende Peponi.
Quran 45 : 51 -55
"Hakika wachamngu watakuwa katika mahali pa amani.
Katika Bustani (Peponi) na chemchem.
Watavaa nguo za hariri nyembamba na nzito, wakikabiliana.
Ndio hivyo hivyo. Na tutawaozesha wanawake wazuri wenye macho makubwa (Hurul-Ayn).
Humo watataka kila aina ya matunda, na wakae kwa amani.
Na sisi tunaotumia Kimea hatujasahaulika.
Quran 47 :15
Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya mvinyo yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa. Na wao humo watakuwa na kila namna ya matunda, na maghfira kutoka kwa Mola wao Mlezi. Basi hao ni kama watakao dumu Motoni na wakinyweshwa maji yanayo chemka ya kuwakata matumbo yao?."
Cc Covax