Bonsipele69
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 364
- 915
Anza kuongea madhaifu ya maza watakutia ndani tuAssalam Allaykum..
Mpka sasa sijala na sjajua siku inaisha vipi, sina pesa wala mpango wa kupata hata buku kwa siku ya leo ukizingatia nimedamka asubuhi kutafuta vibarua viwandani na kwingineko lakini hola nimezurura hadi nimeona ntakuja anguka njiani bure nimekimbilia geto kujilaza nisikilizie tumbo linavyounguruma taratibu ndo nimekumbuka ningekuwa jela muda huu nna uhakika ningekuwa nimeshatia chochote mdomoni... Daaah maisha haya... Nisimalize maneno ndugu zanguni kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke. mawasiliano 0711406248
NB:Kuhusu bando natumia tunnel vpn
Pole mkuu. Nipe na. yako ya Airtel money nikurushie walau jero. Ila mm niko huku umasaini ndani ndani huku nasubiria ugali (Ngurumaa') na maziwa ya mgando(Ku'le") -karibu sana.Assalam Allaykum..
Mpka sasa sijala na sjajua siku inaisha vipi, sina pesa wala mpango wa kupata hata buku kwa siku ya leo ukizingatia nimedamka asubuhi kutafuta vibarua viwandani na kwingineko lakini hola nimezurura hadi nimeona ntakuja anguka njiani bure nimekimbilia geto kujilaza nisikilizie tumbo linavyounguruma taratibu ndo nimekumbuka ningekuwa jela muda huu nna uhakika ningekuwa nimeshatia chochote mdomoni... Daaah maisha haya... Nisimalize maneno ndugu zanguni kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke. mawasiliano 0711406248
NB:Kuhusu bando natumia tunnel vpn
nawasubiriNgoja waje
hahaha natumia vpnIla hela ya bando unayo
Ila unahela ya bandoAssalam Allaykum..
Mpka sasa sijala na sjajua siku inaisha vipi, sina pesa wala mpango wa kupata hata buku kwa siku ya leo ukizingatia nimedamka asubuhi kutafuta vibarua viwandani na kwingineko lakini hola nimezurura hadi nimeona ntakuja anguka njiani bure nimekimbilia geto kujilaza nisikilizie tumbo linavyounguruma taratibu ndo nimekumbuka ningekuwa jela muda huu nna uhakika ningekuwa nimeshatia chochote mdomoni... Daaah maisha haya... Nisimalize maneno ndugu zanguni kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke. mawasiliano 0711406248
NB:Kuhusu bando natumia tunnel vpn
Kasema anatumia vpnIla unahela ya bando
Jela hiosjakuelewa mkuu
Uza simu upate mtajiAssalam Allaykum..
Mpka sasa sijala na sjajua siku inaisha vipi, sina pesa wala mpango wa kupata hata buku kwa siku ya leo ukizingatia nimedamka asubuhi kutafuta vibarua viwandani na kwingineko lakini hola nimezurura hadi nimeona ntakuja anguka njiani bure nimekimbilia geto kujilaza nisikilizie tumbo linavyounguruma taratibu ndo nimekumbuka ningekuwa jela muda huu nna uhakika ningekuwa nimeshatia chochote mdomoni... Daaah maisha haya... Nisimalize maneno ndugu zanguni kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke. mawasiliano 0711406248
NB:Kuhusu bando natumia tunnel vpn
asante kwa wazoUza simu upate mtaji
shukranPole Sana mkuu Ila usijiwazie mabaya
Jaribu kuwa positive Sana hata Kama haujala Ila kuwa na imani utakula
Ushauri wakijinga Sana . kwanini auze simuUza simu upate mtaji
bahat mbaya natumia tigo pekee airtel ipo t ata namba ya siri siijuiPole mkuu. Nipe na. yako ya Airtel money nikurushie walau jero. Ila mm niko huku umasaini ndani ndani huku nasubiria ugali (Ngurumaa') na maziwa ya mgando(Ku'le") -karibu sana.
Hata hiyo ya tigo inafaa mkuu.bahat mbaya natumia tigo pekee airtel ipo t ata namba ya siri siijui
Natumaini anatumia simu ya kijanja yenye bei ya kuanzia lakhi 2 sasa akiuza hiyo simu hauoni atapata mtaji mzuri wa kufanyia biasharaUshauri wakijinga Sana . kwanini auze simu
Wa Alaikum Salaam.Assalam Allaykum..