Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

Natumaini anatumia simu ya kijanja yenye bei ya kuanzia lakhi 2 sasa akiuza hiyo simu hauoni atapata mtaji mzuri wa kufanyia biashara
Kwa maisha ya sasa usimshangae mtu kusema hana hela eti kisa anasimu, simu tena janja ina umuhumu sana ndugu! Kuna siku utamshangaa mtu nadhifu na mtanashati anaomba umsaidie japo 1000 ya kununua dawa! Jinsi ulivyobarikiwa wewe ni tofauti na wengine walivyo
 
Kweli mkuu umeongea point Sana waswahili bado hatupo na uelewa kuhusu maisha .
 
Assalam Allaykum..
Mpka sasa sijala na sjajua siku inaisha vipi, sina pesa wala mpango wa kupata hata buku kwa siku ya leo ukizingatia nimedamka asubuhi kutafuta vibarua viwandani na kwingineko lakini hola nimezurura hadi nimeona ntakuja anguka njiani bure nimekimbilia geto kujilaza nisikilizie tumbo linavyounguruma taratibu ndo nimekumbuka ningekuwa jela muda huu nna uhakika ningekuwa nimeshatia chochote mdomoni... Daaah maisha haya... Nisimalize maneno ndugu zanguni kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke. mawasiliano 0711406248
NB:Kuhusu bando natumia tunnel vpn
Pia ingekua ushaliwa.
 
Back
Top Bottom