Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

Ongea na Mawakala wa kusajili laini wakupe Ramani. Ingia mtaani sajili laini hasa Halotel kwa siku hukosi 5K... 3K unakula 2k kodi
 
JF hakuna Great thinkers

Watu wanatoa ushauri wa kitoto Sana hii inaonesha most of people are immature Mentally.


Utasikia UZA simu nenda kwa Bakhressa viwandani and so on


Kijana ukiwa unatafuta namna nitoke vipi usikilize ushauri wa kila MTU .

Lazima unapoenda kufanya kazi utazame mambo Kama haya

Afya yako in long run benefit - pale viwandani kwa bakhressa ukifanya kazi utapata madhara ya kiafaya na utapunguza life span yako nikimaanisha utakufa mapema .

Ukiuza simu utatatoka hewani na hata fursa zitakupita .

So ushauri keep GOD first na utafute internship kwanza huku ukiwa unafatilia fursa nyingine za kukusogeza hatua moja mbele.


Mfano umesema unatengeneza simu waweza tafuta MTU anayetengeneza simu uka-link naye mkafanya Kazi .

Mimi nakutakia kila lakheri na Mungu akusiamamie.
 
Back
Top Bottom